Shujaa Magufuli hayupo lakini Zitto analialia, Ruge analialia na Mbatia analialia. Mtanikumbuka!

Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi.

Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu"

Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
Amrehemu au aongeze ulnzi asitoroke kwenye moto wa milele?Kuluona luulo!😂😂😂😂
 
A true son of Africa...a man who has proven to be hard to forget..kila nikitembea ktk inchi yangu hii pendwa nakutana na kazi zake zikiongea zenyewe, natabasamu kanyaga mafuta nikijipa moyo kua we once had a great leader, a man of his word mtu wa kazi..kwa hizi tozo na mikopo tuliyopokea within 2yrs angezipata yy nadhani angeupiga mwingi mara 3 zaidi ya alivyoupiga mwingi ktk miaka yake mitano.
 
Apumzike mwamba wa africa.
 
Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi.

Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu"

Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
Replace neno "Shujaa" with xShetani" ndiyo mada ita make sense
 
A true son of Africa...a man who has proven to be hard to forget..kila nikitembea ktk inchi yangu hii pendwa nakutana na kazi zake zikiongea zenyewe, natabasamu kanyaga mafuta nikijipa moyo kua we once had a great leader, a man of his word mtu wa kazi..kwa hizi tozo na mikopo tuliyopokea within 2yrs angezipata yy nadhani angeupiga mwingi mara 3 zaidi ya alivyoupiga mwingi ktk miaka yake mitano.
Hiyo TAKATAKA inakumbukwa na wajinga tu.
Very unfortunate nation. Yaani ukitaka kujua kuwa Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO angalia watu ambao aliwakumbatia kama wasaidizi wa karibu.

1. Daud Bashite aka Makonda
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mrisho Gambo

Hiyo mijitu yote ni takataka, miuaji, mijitu ya unyang'anyi na iliyokosa maadili. Still wapumbavu bado wanamuita Magufuli shujaa wao
 
Back
Top Bottom