Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Hawana ubavu wa kuteka mtu London wataishia kutekwa wao.!
!
Ila jamaa wako vizuri sana wanaonekana....yaani wameenda kumteka hukohuko London au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana ubavu wa kuteka mtu London wataishia kutekwa wao.!
!
Ila jamaa wako vizuri sana wanaonekana....yaani wameenda kumteka hukohuko London au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hali yangu halisi mkuu...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa inafurahisha sana jinsi unavyowachota
Hiyo United States mental of freedom ndio ilimpa kiburi cya kuanzisha na ku support makundi yaliyo shambulia vijiji kuko nyungwe na nyabimata na kuua raia,msemaji wake Calixte yupo na alisema kila kitu.video YouTube zipo wakijigamba hayo.
missions za kawaida saana hizoKg ana makosa juu ya hili. Ni muuaji Kama wengine. Ila intelligence agency yake ya kimataifa ni hatari.. sidhani Kama Kuna wa kupambana nao Africa.. Wana military operation nzito Sana ughaibuni ..eg
Kayumba mwanawasa( SA)
Huyo msela(DUBAI)
Kuna mwingine pia kule comoro nk..
Zingine mtaongeza
Si mbaya mkuu but wanyarwanda wanaonekana zaidi hadharani kwa misheni zenye mifano ya kiisrael ama kirusi..missions za kawaida saana hizo
Ghana waliwai kupandikiza jasusi wao CIA then kwa umahiri zaidi huyo jasusi akapenya akawa double agent wa Russia na CIA walitaka kumpa umakamu wa operation za kiuchumi west Africa
alikuja kujulikana kipindi anawataarifu mabosi wake wa Ghana kuhusu plan ya kuwa makumu wa CIA west Africa
Si mbaya mkuu but wanyarwanda wanaonekana zaidi hadharani kwa misheni zenye mifano ya kiisrael ama kirusi..
Kuwafuata maadui ugenini na kuwaleta home ama kuwateketeza ughaibuni na kuacha tetesi pengine ni flani ni flani wao mbele
Aaaaaah wapi[emoji86][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hali yangu halisi mkuu...
Waingereza huwa hawana mchezoHawana ubavu wa kuteka mtu London wataishia kutekwa wao.
We kweli ?Waingereza huwa hawana mchezo
In short Ulaya hakuna ujinga ujinga wa kuachia watawala Fulani wafanye wanayojisikia nje ya nchi
Nigeria miaka ya nyuma sana walivunja uhusiano na Uingereza sababu hizo hizo za kutaka kumkamata mtu yuko UingerezaWe kweli ?
uingereza Mara mbili Warusi wameshafanya yao na kutambaa.. baada ya masiku ndo tetesi itakuwa Warusi hawa
Na miaka hio Nigeria wakishirikiana na waisraeli 'Mossad' wakimteka yule waziri wao,wakamlewesha madawa na kumpakia kwny diplomatic bag rais wa Nigeria alikua huyu huyu wa sasa Gen. Buhari.Nigeria miaka ya nyuma sana walivunja uhusiano na Uingereza sababu hizo hizo za kutaka kumkamata mtu yuko Uingereza
Jaribu kucheki nani Urusi wamewahi kumkamatia Uingereza
Urusi ina makumi ya maadui nchini UK lakini haiwezi jaribu hata kumteka mmoja. MI6 na MI5 sio watoto wale, wanakufata kila kona. Imagine waliompa sumu Sergei Skripal walitambuliwa na group la uchunguzi la kiraia, hapo involvement ya majasusi haikuwepo.We kweli ?
uingereza Mara mbili Warusi wameshafanya yao na kutambaa.. baada ya masiku ndo tetesi itakuwa Warusi hawa
Rejea kesi ya litvinenko Alexander, nadhani m16/15 walikuwa wamelala kidogo.Urusi ina makumi ya maadui nchini UK lakini haiwezi jaribu hata kumteka mmoja. MI6 na MI5 sio watoto wale, wanakufata kila kona. Imagine waliompa sumu Sergei Skripal walitambuliwa na group la uchunguzi la kiraia, hapo involvement ya majasusi haikuwepo.
Nnavyosikia scripal ulikuwa mtego wenye fAida zaidi kwa UK zaidi ya Urusi hivyo ulifanyiwa na UK wenyewe kwa maslahi flani maUrusi ina makumi ya maadui nchini UK lakini haiwezi jaribu hata kumteka mmoja. MI6 na MI5 sio watoto wale, wanakufata kila kona. Imagine waliompa sumu Sergei Skripal walitambuliwa na group la uchunguzi la kiraia, hapo involvement ya majasusi haikuwepo.
Warusi hawakukamati wanakufyeka huko huko ughaibuni au hata home .. hawanaga Tabia ya kurudisha Marais coz ni risk kwa majasusi wao.Nigeria miaka ya nyuma sana walivunja uhusiano na Uingereza sababu hizo hizo za kutaka kumkamata mtu yuko Uingereza
Jaribu kucheki nani Urusi wamewahi kumkamatia Uingereza
Kwenye kuwachukua ughaibuni nililenga zaidi Israel kuliko Russia.. Israel walimtafuta bwana Vita mmoja kutoka German wakamhukum kwa makosa ya kushirikiana na Hitler kuua wayahudiintelligence ni usiri kuna baadhi ya taasisi zinafanya mambo makubwa na kwa usiri wa hali ya juu
sasa ona hiyo mission inaweza kusababisha mgogoro wa kidiplomasia