Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

Najifunza kitu kikubwa juu yake MUNGU atujalie moyo wa ujasiri na kujitoa kwa ajili ya wengine.
vijana wasasa hawawezi kujitoa kwa kiasi hiki kwa kuwa vijana wengi tulionao wamezungushiwa ulinzi mno kiasi kwamba wamejengewa woga wa kuthubutu ukiona wanasubutu ujue kuna mtu nyuma vinginevyo ni wale waliosoma shule za kayumba ambao kiukweli wanajengewa uwezo wa kujitegemea toka utoto.
 
kamati iliyo undwa kuchunguza chanzo cha ajali hii hawana budi kumhoji kwa kina huyu dogo.....maana inaonekana kuna mambo mengi aliyashuhudia.
napenda amtambue na amtaje yule mtu aliye mkataza kuwa asivunje kioo wakati alikuwa anataka kumuokoa rubani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…