Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

yaani kwa wenzetu huyo wangemfungulia GOFUND me lazima achezee funds za kutosha aisee.
mitandao ya kijamii imesaidia sana mpaka wameona aibu maana walichokua watu wana comment kwenye mitandao ndicho walichofanya kwa aibu, hii ni best practice dunia nzima watu wa dizaini ya yule dogo wanasomeshwa zaidi na wanapewa vitengo nyeti, ndiomaana huko nyuma kuna stori mwana mmoja alikua kibaka mzoefu anafungua sana makufuli bila walinzi kujua walipomgundua walimtumia kwenye vikosi vyao vya usalama ili awasaidie , hii ndio inaitwa mchawi mpe mwana alee
 
Shujaa wa kwanza wa hiyo ajali ni Rubani.. RIP. Wengine ni wasaidizi.
 
Back
Top Bottom