Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

 
Lazima nchi ianze kuwatambua mashuja wa ukweli syo anatokea mtu
Anapiga domo ujingujing,eti anaonekana Shuja....ukiuliza ushuja wake wa nini zeroooo

Safi sana dogo kutoka BK

Ova
 
kamati iliyo undwa kuchunguza chanzo cha ajali hii hawana budi kumhoji kwa kina huyu dogo.....maana inaonekana kuna mambo mengi aliyashuhudia.
napenda amtambue na amtaje yule mtu aliye mkataza kuwa asivunje kioo wakati alikuwa anataka kumuokoa rubani.

Aisee kwanini asingevunja tu
 
Kwa wenye kumbukumbu, yule dogo toka nchi ya Mali, aliyeokoa watu France, alipata ajira bila kuangalia shule, umri, utaifa ndani ya Ufaransa, na France wakampa uraia siku hiyo hiyo. Kimbunga kikaja toka kwao Mali, eti arudi akajiunge na jeshi la kwao, looh mtu kasota miaka lundo bila ajira mpaka kutoroka nchi, leo ndo upate thamani, kagomea France.
[emoji28][emoji28][emoji23]wamerogwa hai Mali yaani nshafika nchi ya maziwa na asali arudi tena huku shithole wehu hao kweli
 
Angalau wamesoma maoni yenu nafkiri bora kapewa ajira ila aibu mjeda kabisa kajishika mikono mifukoni aibu gani hii
 
Zaidi ya kupewa panadol hapo hospitali hakuna lingine zaidi. Atarudi zake kupambama na uvuvi

UPDATE: Kapewa 1m kwa maagizo ya waziri mkuu.
Million moja kwa kuokoa lives zote hizo😲😲😲
 
Sijui kwanini alimsikiliza hiyo boya.
Cha kusikitisha alipokatazwa kupasua kioo ambacho rubani alimwelekeza apasue, alizama tena akamfuata Rubani na kumpungia mkono kwamba ndugu kwaheri wamenikataza nisikuokoe, Rubani akamuelekeza tena kwamba basi nifungulie mlango wa dharula uko pale! Dogo kaenda pale kafunga kamba na kuanza kuvuta mlango kamba ikavyatuka na kumchapa kichwa akizilai hakujua tena nn kiliendelea.
 
apewe pesa,his life should never be the same again.
Mafunzo yatamsaidia nini kwa bongo hii na jua hili?
Eti serikali na watu wazima woooote waliomo wamempa 1m! Viongozi wana uchu wa madaraka afu wabinafsi sana apo ni kwa vile kaokoa watu ambao hawakuwa na wadhifa, angeokoa waziri mmoja tu angeitwa bungeni wakapitisha harambee
 
Back
Top Bottom