Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tupewe namba yake tumchangieKijana anastahili zaidi ya li ten yaani 10m.
Kwanza ameokoa uhai wa watu 26 hili ni jambo zito.
Pili ameisaidia na kuiondolea serikali aibu kwa kushindwa kuokoa.
Mwisho walipa kodi wameepushwa na kifo ambacho kingepunguza nguvu kazi na kodi eboo