Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

hao wakuu walikuwa wapi hadi yeye anafika eneo la tukio. Hata ungekuwa wewe pengine unasikia vilio vywa watu ndani halafu unajifunga mikono eti unasubiri amri kutoka kwa mtu usiyemuona! na hata hujui ni nani na atafika lini!

Mkuu protocol lazima zifuatwe...je angekufa?
 
Hawa ndio wanapaswa kuwa wanajeshi wa maji.

Sio wale VITAMBI RUSHWA, VI.

AIBU YA TAIFWA.
IMG-20221107-WA0029.jpg
 
Back
Top Bottom