mitandao ya kijamii imesaidia sana mpaka wameona aibu maana walichokua watu wana comment kwenye mitandao ndicho walichofanya kwa aibu, hii ni best practice dunia nzima watu wa dizaini ya yule dogo wanasomeshwa zaidi na wanapewa vitengo nyeti, ndiomaana huko nyuma kuna stori mwana mmoja alikua kibaka mzoefu anafungua sana makufuli bila walinzi kujua walipomgundua walimtumia kwenye vikosi vyao vya usalama ili awasaidie , hii ndio inaitwa mchawi mpe mwana alee