Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
๐ ๐ anakismart huyu mangi hadi uzi kafunguliwa doh
๐๐๐Kwamba sina uwezo wa kumwaga pesa?๐ญ๐ญ๐ญ
Ndo ulichotaka kuuliza?Kwamba sina uwezo wa kumwaga pesa?๐ญ๐ญ๐ญ
TafsiriKichupa kimejaa ni code kiumeni ujue๐คฃ๐คฃ
Subhannallah ๐๐๐Kichupa kimejaa
Nipasie mimi hao dada zako na marafiki zako ๐คฃHawa ni dada na rafiki zangu bwashee ,tafadhali naomba usinichonganishe๐๐
haujadai bali jamaa nimempa ushauri kama anawiwa upendo wa kweli basi akupe ujipakulie.Wapi nimedai nataka nijipakulie bwashee?
Shalom shalom bwana yesu asifiweโบ๏ธTafsiri
Colnell Nangaa , brother ๐ karibu Huku yule jamaa mpuuzi kwenye ule uzii achana nae maana wengine Wana stress za maisha wanatafuta afueni humuu achana naeHaha
Kuanzia leo sitahangaika na mtu humu maana haina maaana ,
Kupuuza ni maturity
Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr
Sio mwandiko wangu huoMwachi kama mwachiii
Unataka kusema niniSio mwandiko wangu huo
Hakika mkuu endelea ku recruit vijana.Colnell Nangaa , brother ๐ karibu Huku yule jamaa mpuuzi kwenye ule uzii achana nae maana wengine Wana stress za maisha wanatafuta afueni humuu achana nae
Karibu Huku
Hapana mwana kanikubali tu kawaida , punguza wivu emmyhaujadai bali jamaa nimempa ushauri kama anawiwa upendo wa kweli basi akupe ujipakulie.
๐คฃ๐คฃ tukiwambia mje ughaibuni hamtaki ona fedhea sasaTanesko washakata umeme ngoja niende zangu baharini kupata upepo wa bahari ๐View attachment 3453891