Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
😅😅Awe tu wa kike milango ipo wazi , ila naona kijana kaamua kunikubali tu , ngoja kwanza ni mfollow😅😅
😅😅Awe tu wa kike milango ipo wazi , ila naona kijana kaamua kunikubali tu , ngoja kwanza ni mfollow😅😅
😅😅anakismart huyu mangi hadi uzi kafunguliwa dohSi bure, maana hizi like za Mangi zinaweza kukuchanganya ukahisi unapendwa 🤣🤣🤣 kumbe mwenzio kalewa!
Siku nikimwaga pesa humu haupati nakwambia😊Sitaki.
Kaka nakupa ""Big Stan"" ni ukomavu mkubwa sana maturity ya hali ya juuuuuHaha
Kuanzia leo sitahangaika na mtu humu maana haina maaana ,
Kupuuza ni maturity
Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr
Mimi nitakuja na wanangu , wengine wa humu halafu bar tunafunga nalipia 😅😅😅Sio mbaya bwana min -me Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr tuta hang out mara moja mixa mdudu na maji ya bomba ya dhahabu ila mimi sipigi maji mtanisamehe😂😂, kazi ya kutuletea warembo iwe ya vincenzo😂
Aya ulizaSiku nikimwaga pesa humu haupati nakwambia😊
Haaahaa 😂 😁 😁 😂
😃😀😀😅😅anakismart huyu mangi hadi uzi kafunguliwa doh
Hawa ni dada na rafiki zangu bwashee ,tafadhali naomba usinichonganishe😊😊
Umemaliza uji?Aya uliza
Kaone😅😅😅😅anakismart huyu mangi hadi uzi kafunguliwa doh
Naam nitaleta watoto wa kituruki na kutoka lebanoni wana mizigo hao sio powa 😀Sio mbaya bwana min -me Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr tuta hang out mara moja mixa mdudu na maji ya bomba ya dhahabu ila mimi sipigi maji mtanisamehe😂😂, kazi ya kutuletea warembo iwe ya vincenzo😂 ila yawe tipwa tipwa🍑
Kwamba sina uwezo wa kumwaga pesa?😭😭😭Aya uliza
Kichupa kimejaaUmemaliza uji?
Kichupa kimejaa ni code kiumeni ujue🤣🤣Kichupa kimejaa