Shukran zangu za dhati kwenda kwa kaka mkuu min-me

Shukran zangu za dhati kwenda kwa kaka mkuu min-me

Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.

Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.

Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.

Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
HUyo ni afisa mkubwa sana serikalini, mwambie akuunganishe kwenye value chain
 
Jana nilijifunza kitu kikubwa sana imenishape jinsi ya kuishi humu ndaniii😊😊 nilijifunza kitu kikubwa sana imenishape sanaa

dosho12 kaka sema neno naona unasambaza upendooo
Hakika

Hii conversation ya Dr am 4 real PhD na mdogo wangu Vincenzo Jr imenipa mwanga sana.

Jf is not worth hisia zako, kuna watu humu akili zimepinda sasa ukiendana na usukani wao wewe nae utawekkwa kundi moja
 
Pass it On.... Kama watu wakipunguza vijembe na kujibishana upuuzi huenda wote tutaacha kujibishana upuuzi...

"The flapping of the wings of a butterfly it one corner of the Earth, can cause Tsunami on the other side.... Butterfly Effect
 
Hakika

Hii conversation ya Dr am 4 real PhD na mdogo wangu Vincenzo Jr imenipa mwanga sana.

Jf is not worth hisia zako, kuna watu humu akili zimepinda sasa ukiendana na usukani wao wewe nae utawekkwa kundi moja
Very true nilijifunza kitu kikubwa sana imenishape sanaa jinsi ya kuishi humu Asante pia Kuna member wenye upendo walinipa maneno ya busara sana sana now nimekua KIUMBE KIPYA 😊😊😊
 
Jana nilijifunza kitu kikubwa sana imenishape jinsi ya kuishi humu ndaniii😊😊 nilijifunza kitu kikubwa sana imenishape sanaa

dosho12 kaka sema neno naona unasambaza upendooo
Ukweli ni kuwa kwenye keyboard watu wanaAct tough, smart na kujiona wajanja flani ila ukweli is they're so sick in the head, hawajakuwa na hawajielewi. Ndo maana unapoelewa hilo, unachagua kufanya yako.
 
Back
Top Bottom