Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
😁😁😂Wananifurahisha Sana hawa maniga😃😃
😁😁😂Wananifurahisha Sana hawa maniga😃😃
Muogope mtu aliyemzidi akili dokta na pia ni muhaya huyo sio mwenzio Kaka ni hatari haswa .Haaahaa 😂 😁 😁 😂
SawaSio yeye ni mimi
Jukwaa la la habari lenye lengo la kuwasemea watoto wanaopitia hali ngumu
Haaahaa 😂 😁 😁 wewe ni mtu mbadiiiiKwa tuanze kwa kusema Mama Ametufikia sisi kama chawa , hilo parody nitaku tag tu bwashee , wewe October unatiki?
Shule gani mobeto kasoma kaka 😊 😊 😊Muogope mtu aliyemzidi akili dokta na pia ni muhaya huyo sio mwenzio Kaka ni hatari haswa .
Alafu unaijua shule alisoma Hamisa Mobetto?
Akipost nitaku tag bwasheeee , hapa nasikitika aina fulani ya bia ninayo kunywa hapa ndani imeisha , sijui nichanganye tu🤔Haaahaa 😂 😁 😁 wewe ni mtu mbadiiii
Safi mkuu 👍Nimpe nini wakati mm mwanamme
Kaka aweke samaki mkubwaWaiter ebu tuitie mtu wa jikoni uko
Anza kupiga vikariii Huku sisii ni mwendo wa konyagiiii hapa nataka leo niagizee kitimoto.Akipost nitaku tag bwasheeee , hapa nasikitika aina fulani ya bia ninayo kunywa hapa ndani imeisha , sijui nichanganye tu🤔
Au sioHapa hakuna namna inabidi tuamini tuu kwamba ni sifa tuu kutoka kwa member mmoja kwenda kwa min -me
Hahahahah mimi vikali nakula kwa machale mno mkuu, hapa hata bia naogopa kuchanganya tuAnza kupiga vikariii Huku sisii ni mwendo wa konyagiiii hapa nataka leo niagizee kitimoto.
Si unajua nimeanza dozii ila DR SANTOS kasema sio MBAYA izi dawa nilizo kunywa hazina interaction na pombe hivyo naweza kunywa.
Ila tatizo ntalipa kazi kubwa INI Langu ngoja nitulie mpaka nimalize dozii ndio sababu hata nikiwa na homa sinywii dawa kabisa
Sekondari kakaShule gani mobeto kasoma kaka 😊 😊 😊
Sisi wengine damu zetu ni Kali sanaa pombe tunazo kunywaga akipewa mwingine azibebe KICHWANI hawezii ku control 😁😁😁Hahahahah mimi vikali nakula kwa machale mno mkuu, hapa hata bia naogopa kuchanganya tu
😀😃😃😃Vin jr. Anapiga mchinjooo mpaka goliii ila kwa Sasa sijui kwanini ukitokea Uzi wa member kumu appreciate member mwingine watu wanajua ni multiple ID's kitu ambacho sio kweriiiii 😃🤣😂😂
Inaitwaje hiyo shule si alisoma tandika/ temeke kama sikoseiSekondari kaka
Hahahaha mimi nakunywa kwa machale sanaSisi wengine damu zetu ni Kali sanaa pombe tunazo kunywaga akipewa mwingine azibebe KICHWANI hawezii ku control 😁😁😁
Tandika Kaka basi sawa .Inaitwaje hiyo shule si alisoma tandika/ temeke kama sikosei
Unataka kusemaje kaka Mimi ule uziii KULE nime achana nao maana zilizuka tafrani/ kupalulana ukijumlisha konyagiiii KICHWANI nikageuka gentamicin sulfate injection 😆 😆 😁 🤣😂😀😃😃😃