Shukran zangu za dhati kwenda kwa kaka mkuu min-me

Shukran zangu za dhati kwenda kwa kaka mkuu min-me

😹😹😹 Huu mchezo utakuwa endelevu yote kaleta Dr am 4 real PhD
Sijaleta mchezo wowote ule sema watu wameamua ku show love 😂 😆 kesho naombea

Mtu aanzishe thread kwa jina lako TITLE iwe hiviiii.

SHUKRANI ZANGU ZA DHATI ZIENDE KWA QUEEN LAMONY, DADA LA DADA , DADA MWENYE PESA ZAKE MJINI,HANA BAYA , MBINGUNI MOJA KWA MOJA. 😂😂😊😆😆
 
Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.

Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.

Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.

Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Ndioo umkaribishe vikaoo vyenye heshimaaa sijuii niongezee sauti

Huko unaweza pewa code tu yere pdidyjr
 
Sijaleta mchezo wowote ule sema watu wameamua ku show love 😂 😆 kesho naombea

Mtu aanzishe thread kwa jina lako TITLE iwe hiviiii.

SHUKRANI ZANGU ZA DHATI ZIENDE KWA QUEEN LAMONY, DADA LA DADA , DADA MWENYE PESA ZAKE MJINI,HANA BAYA , MBINGUNI MOJA KWA MOJA. 😂😂😊😆😆
Sasa wanishukuru kwa lipi? 😹😹
Nilivyo mchokozi au?

Mwenzio nishaandikiwa nyuzi mpk na machizi humu, hayo yatakuwa marudio 🤣
 
Min anacheza mchezo wa panya anang’ata na kujipuliza..!! 😹😹
Huyu ni yeye id yake nyingine 🤣
Sio kweli lamo , kwamva mimi siwezi kubalika😅
 
Naambiwa najipakulia monofu😭
Tunapoelekea mtu akimfungulia mtu uzi anatafuta ugomvi🤣🤣🤣. Ukiwa na uadui na mtu unamfungulia uzi ili waja wakusaidie kumnyanyasa🤣🤣
 
Back
Top Bottom