min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Unanionaje mfano😅😅Unajua kuimba?
Jibu liko wapi?Unanionaje mfano😅😅
Jamani kuna nini kwani Rasi?
Violence rasii wangu😍Jamani kuna nini kwani Rasi?
Hebu nipitie taratibu nikiwa na mawani yangu ya mbaoViolence rasii wangu😍
Kaka uneona jinsi gani nakubalika😅😅 halafu kuna totozi kama ephen_ nampea ngoma tamu kama hii bwashee [URL unfurl="true" uache media="youtube:TKyDCwRQMLg"]Sawa,ila kabla hatujaendelea mbele zaidi,nikuulize,je Zanzibar ni mkoa au inchi?
Rasi nakula zangu pombe polepole hapaHebu nipitie taratibu nikiwa na mawani yangu ya mbao
🤣🤣🤣Hii imeendaaMuhanga mwenzio😂,, kwenye ID nyingine anang'twa huku anapulizwa
🤣🤣🤣Ngoja uangukie puaHata mimi nahisi😅 mtego huo