Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Sijaleta mchezo wowote ule sema watu wameamua ku show love 😂 😆 kesho naombea😹😹😹 Huu mchezo utakuwa endelevu yote kaleta Dr am 4 real PhD
Ndioo umkaribishe vikaoo vyenye heshimaaa sijuii niongezee sautiNaam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Una vitukoUnasikiliza ngoma na mziki wa 200 ndio tatizo lako nakwambia😊
Yaani humu nimespot watu watatu na side ID zao sasa hivi wanajaribu kuzifanya id zao kama washikaji vile ila Dr Haya alishawaharibiaMin anacheza mchezo wa panya anang’ata na kujipuliza..!! 😹😹
Huyu ni yeye id yake nyingine 🤣
Sasa wanishukuru kwa lipi? 😹😹Sijaleta mchezo wowote ule sema watu wameamua ku show love 😂 😆 kesho naombea
Mtu aanzishe thread kwa jina lako TITLE iwe hiviiii.
SHUKRANI ZANGU ZA DHATI ZIENDE KWA QUEEN LAMONY, DADA LA DADA , DADA MWENYE PESA ZAKE MJINI,HANA BAYA , MBINGUNI MOJA KWA MOJA. 😂😂😊😆😆
Aliwachomea kichaka chezea dokta la kihaya wewee..!! 😹😹😹Yaani humu nimespot watu watatu na side ID zao sasa hivi wanajaribu kuzifanya id zao kama washikaji vile ila Dr Haya alishawaharibia
😄😄 labda nijifunze
Samahani ndugu hakimu mkazi jamiiMbona mnatoa maneno yenye ukakasi kiasi hicho!!?, Hivi kawakosea nini lkn,nini tatizo?
Mjomba ni shida kweli kweliMjomba kama mjomba🤣🤣
Hahaha sio kwelKwahiyo min unatutambulisha id yako nyingine?
Umeona ujianzishie uzi wa kujishukuru kuji-like au sio? 😹😹😹
Shindii hizo mama?🤣🤣🤣🤣 shindikana hebu timiza zile ahadi zako za Januari kwanza🤣🤣🤣
Haha kaone😹😹😹 Huu mchezo utakuwa endelevu yote kaleta Dr am 4 real PhD
Naambiwa najipakulia monofu😭Ndio nafika ngoja nisome kwanza.
Sio kweli lamo , kwamva mimi siwezi kubalika😅Min anacheza mchezo wa panya anang’ata na kujipuliza..!! 😹😹
Huyu ni yeye id yake nyingine 🤣
Unajisahaulisha eeh?Shindii hizo mama?
Shindiiiiii tulewe mamaUnajisahaulisha eeh?
Shindii nimeacha pombe, nakunywa wine tu🤣🤣Shindiiiiii tulewe mama
Safi shindii wanguShindii nimeacha pombe, nakunywa wine tu🤣🤣
Sasa turudi kwenye ahadi.Safi shindii wangu
Tunapoelekea mtu akimfungulia mtu uzi anatafuta ugomvi🤣🤣🤣. Ukiwa na uadui na mtu unamfungulia uzi ili waja wakusaidie kumnyanyasa🤣🤣Naambiwa najipakulia monofu😭