Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Si bure, maana hizi like za Mangi zinaweza kukuchanganya ukahisi unapendwa π€£π€£π€£ kumbe mwenzio kalewa!Atakuwa anakutaka huyo
Vin jr. Anapiga mchinjooo mpaka goliii ila kwa Sasa sijui kwanini ukitokea Uzi wa member kumu appreciate member mwingine watu wanajua ni multiple ID's kitu ambacho sio kweriiiii ππ€£ππ
πππππ hapo hata wewe mwenyewe huamni kama umejisifia.....natania bwanaKwamba hauamini hata mlevi anaweza sifiwa trudieπ π
Kabisa nisije kosa wachumba , kumbe mimi kijana tuπaache hizo mambo mara moja
ataua brand ya familiaπ€£
Refer sakata la doc uchwaraVin jr. Anapiga mchinjooo mpaka goliii ila kwa Sasa sijui kwanini ukitokea Uzi wa member kumu appreciate member mwingine watu wanajua ni multiple ID's kitu ambacho sio kweriiiii ππ€£ππ
Mkuu umeamua kutuchamba mbona jopo letu woteeeeeee tunapiga sana pombe tukiongozwa na min- me π€£πSi bure, maana hizi like za Mangi zinaweza kukuchanganya ukahisi unapendwa π€£π€£π€£ kumbe mwenzio kalewa!
π€£π Aiseeee jamaa katulia sana kwa Sasa. Ngoja upepo upiteeRefer sakata la doc uchwara
π π acheni basi kila siku nyie tuπππππ hapo hata wewe mwenyewe huamni
π€£π Aiseeee jamaa katulia sana kwa Sasa. Ngoja upepo upiteew
Wapi nimedai nataka nijipakulie bwashee?Pongezi zisiishie hapa jf pekee, Usisahau pia kumpa ajipakulie kadri ya awezavyo.
Kwamba sasa hivi tutarajie kuona nyuzi za shukrani, namshukuru sana member min -me ana moyo wa dhahabu sana nilipitia kipindi kigumu alinisaidia kifedha bila hata kunijua. Ni watu wachache sana wenye moyo kama wa bwashee sio rahisi kutoa kiasi kikubwa cha pesa kusaidia mtu ππππHahhahaha yani nasifiwa vitu vidogo hivi mnapinga je nikianza mwaga mapesaπ€£π€£π€£
Unafiki proAsante, ila I'd hii unanitukana na hii unasifia , ila yote poa tu bwashee π
Hata nikifanya kwako ukanisifia watu watadai nilikua na id ya kike , matomaso wanataka kushika ubavuni waone alama za misumari , na mimi nawambia msiniguse kwa sababu bado sijakwenda kwa babaπKwamba sasa hivi tutarajie kuona nyuzi za shukrani, namshukuru sana member min -me ana moyo wa dhahabu sana nilipitia kipindi kigumu alinisaidia kifedha bila hata kunijua. Ni watu wachache sana wenye moyo kama wa bwashee sio rahisi kutoa kiasi kikubwa cha pesa kusaidia mtu ππππ
Dr haya uyo ππmin -me unajishukuru, usitufanye sie watoto
Hatuna hakika bwashee, nani ajuae ?Unafiki pro