Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Hongera sana Mama,
Binafsi natamani Wizara zote zingekuwa huku...
Kuna watu wana mawazo ya kujenga ila hawana fursa ya kuyapitisha kwa wahusika!
 

Tunashukuru sana kwa uwepo na kujitoa kwako.

Kuna wengine Uwaziri unawafanya wajione sio sehemu ya jamii
 
Hongera saana madam, Barikiwa.
 
Hongera sana mhe.Waziri
 
Mama unakitu kichwani, sema tatizo nchi inaongozwa na kuti kavu.. ๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‘
 
Appreciation is the best prayer.
Mh. Sala yangu kwako nikuone mahala pa juu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ