anangisye2
Senior Member
- May 15, 2017
- 116
- 83
Mungu akusimamie uwalee vizuri watoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana tupo pamojaSalamu sana wana jamii wote.
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana familiya hii wote kutokana na kuitikia ombi langu la kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu aliyekuwa anaumwa.
Nilipata michango kiasi cha shilingi laki nne hivi. Niliweza kwenda na vijana wangu wawili.
Nilikuta amelazwa Hosp ya rufaa Mbeya. Nilifanikiwa kuongea naye na tulifanikiwa kushikana mikono na kutangaziana msamaha.
Tuliendelea Kuuguza na ilipofika 21/2 alifariki. Tulizika 23!2 tulimzika.
Nawashukuru sana. Mungu awabariki.
Ndio ukomo wa Akili yako ulipofikia ??www.ombaomba.com = mamdenyi
Hakuna hoja bali ni www.uzwazwa.com uliokujaa
Ukizeeka Utakuwa mchawi naona imekuuma kwelikweli.Kwahiyo www.uzwazwa.com = www.ombaomba.com = mamdenyi ,basi sawa!
Ukizeeka Utakuwa mchawi naona imekuuma kwelikweli.