HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Pole Sana my ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole zake ila wewe tunakujua ni mkware ushaanza kuzengea mjane kabla hata arobaini haijaisha umeshaanza kupandisha jeki yako katikati ya mapaja.Acha ukware wa kupindukia .Hiki ni kipindi cha maombolezo pole sana Mamndenyi.Wee malaya subiri walau arobaini ya mzazi mwenzie wa Mamdenji iishe ndio upandishe nyege zako. Loooo mtu mzima hovyo!!!
Serikali zote duniani pamoja na rasilimali zote lakini huwa wanaomba msaada na MIKOPO mingine ya masharti makubwa. Sembuse MWANADAMU. Hujafa hujaumbika ndugu yangu. Usimsemee mwenzenu ambaye humfahamu na hujui anayoyaoitia. Pole sana dada yangu Mamndenyi na MUNGU akijalia kwa roho njema ya upendo na msamaha. Laiti hasa wanaume wangefahamu madhara ya KUTELEKEZA mke wa ujana wako.Yes ,imeniuma watu kugeuka ombaomba..watu wazima wenye usomi,miguu miwili na mikono,na akili kubwa tu,ana-resort into begging...this is where we are going to as a society!
Happy to know!
Serikali zote duniani pamoja na rasilimali zote lakini huwa wanaomba msaada na MIKOPO mingine ya masharti makubwa. Sembuse MWANADAMU. Hujafa hujaumbika ndugu yangu. Usimsemee mwenzenu ambaye humfahamu na hujui anayoyaoitia. Pole sana dada yangu Mamndenyi na MUNGU akijalia kwa roho njema ya upendo na msamaha. Laiti hasa wanaume wangefahamu madhara ya KUTELEKEZA mke wa ujana wako.