witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Alikuwa anaumwa nini?Miss Natafuta umesoma huu uzi? yule mgonjwa kafariki. Tuungane na mwenzetu katika kipindi hiki kigumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anaumwa nini?Miss Natafuta umesoma huu uzi? yule mgonjwa kafariki. Tuungane na mwenzetu katika kipindi hiki kigumu
[emoji15] [emoji15] kaka?imenigusa sana,pole sana kaka
KumbeeAzeeke mara ngapi.
"I do not know her..........."Wala,
I do not know her,never met her,never..
I have ana uncanny hatred na watu wanao ombaomba,especially mtu anaetumia nafasi yake ya kujulikana,au anything kama mtaji wa kuombea....I really despise people who project somekind of fake persona kuomba watu anything...
Mamdenyi ni msomi,mwenye kazi,hana ulemavu wowote,ila I can sense ana habit za kitapeli kutumia her influence na umaarufu wake JF kuelezea shida zake ambazo 90% ya watu wote humu tunakutana nazo on the daily basis ila yeye anataka asaidiwe....
I will debunk her
Hiyo laki nne uliitoa wewe?
Kama ndiyo pole
Kama siyo wacha kuumia roho na mali ya mwenzako.
Wacha kuumia roho na kitu cha mwenzako.Honest,
Sitoi ujinga mimi.Huwezi nikuta kwenye list ya "kuchangia" upuuzi wakati bibi yangu anaoza mguu pale Marangu!
Wala sijawalalamikia waliochanga,upo hapo?Refer post zangu zote.
Nina-debunk mtu aliegeuka mrubuni wa kuomba misaada.
Wananchi always ni vurnerable tu,siwalaumu.Tatizo ni mjanja aliewatwika mzigo wake wamsaidie wakati wao wana shida hizo hizo!
Naumia roho anavyotumia position yake ya kujulikana kuombea misaada.Hapo tu ndio pananichukiza kupita kiasi.
Na kuhusu kunyamaza,huwezi nipangia mkuu,nina domo kama lako,nina uhuru wa kuongea kama wewe...Huna mandate ya kuniambia "nyamaza"!
"I do not know her..........."
"Mamndenyi ni msomi, mwenye kazi, hana ulemavu wowote.........."
Nigga you gay? [emoji53]
Why you *****ng yaself in the same shit of a comment?
Wacha kuumia roho na kitu cha mwenzako.
Hua unasaidia rafiki zako wakikwama kipesa ndugu?Sijaumia roho na whatever she gets...nachukia tabia yake.Full stop.
Na sifichi,Im open about it!
If that makes you uncomfortable,Im sorry!
duuuhSijaumia roho na whatever she gets...nachukia tabia yake.Full stop.
Na sifichi,Im open about it!
If that makes you uncomfortable,Im sorry!
Hua unasaidia rafiki zako wakikwama kipesa ndugu?
Kama humjui unamfatilia ya nini?Mr Riley Freeman
Lil nyuiggah shutup...Nuttin gay AF of u than u on Boodocks Season 2 on The Story of Gangstalicious 2,then seen with a box of sexually ambiguous clothes with a highly feminine lean from the line sent to you by Gangstalicious
Stop spewing hot airs.
Plus,kama mimi kumfatilia mwanamke kama Mamdenyi ambae ni opposite sex na mimi ndio kua gay,let it be!It shows how misinformed you are!
Simjui Mandenyi personally in a normal personal setting,ila namjua kama character ndani ya JF baada ya kusoma posts nying kuhusu yeye,wanaomfaham in a personal level...
Sasa sijui unataka nini from me?Im into women,please be on yo lane!
Kwa maelezo ya Mamndenyi ni kwamba huyo mumewe waliachana akaoa mke mwingine, huyo mke mwenzie aliugua akafariki sasa na mume na yeye kaugua kwa muda kiasi na yeye kafarikiAlikuwa anaumwa nini?
Kama humjui unamfatilia ya nini?
Hell i hate em niggas who ain't got no life but all they do is tryna grab shit attention and envy others' life. -In Uncle Ruckus' voice (no relation)