Shukrani kwa kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu, amefariki dunia

Shukrani kwa kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu, amefariki dunia

Yes ,imeniuma watu kugeuka ombaomba..watu wazima wenye usomi,miguu miwili na mikono,na akili kubwa tu,ana-resort into begging...this is where we are going to as a society!

Happy to know!
Yeye akiomba wewe inakuhusu ama kukuathiri nini?

Yawezekana wewe una uwezo kuwa na kipato kiasi Fulani basi mshukuru na uache tabia ya kuwakashifu wengine wasio nacho si uungwana.

Humu wengine wanaishi Kama familia tunasaidiana katika mambo mbali mbali, wewe inayejificha nyuma ya keyboard na kukashifu wengine acha hiyo tabia elewa kuwa yapo maisha mengine nje ya keyboard ya simu yako.

Tabia za kivulana vulana zina kufanya ujitoe akili kiasi hicho????
 
Nani kakwambia Mamdenyi hana kipato?

Who have a proof of this?I do not have,and you don have either!So shut up!

Nani kakwambia nina kipato?U don know me,I don know you!So shut up!

Watu wa JF wanaishi kifamilia?How on this earth you are generalizing this much?Sema kuna grupu la watu humu JF tunaishi kama familia,then mfungue grupu lenu muwe mnaweka thread zenu za kusaidiana na sio mnafungua kwenye public platform kama hapa.Ongeeni na Invincible awafungulie hamna mtu atawafuata!

Maisha yako ni yako,kwanini unataka kututwisha maisha yako kwa kigezo cha "eti tunaishi kifamilia"?

Ni hivi,Mamdenyi ni professional beggar,hii si mara ya kwanza kuomba misaada...lazima tuwe na ustaarabu kama society inayoendelea,kila mtu akifungua thread ya kuomba nauli JF itakua matonya.com!

Tabia za kivulana unasema wewe,kutokana na judgement ya ubongo wako binafsi,una haki hiyo!Ni safi unatumia haki yako,una uhuru hadi wa ku-provoke wenzako,huo ndio uhuru safi!
 
Salamu sana wana jamii wote.

Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana familiya hii wote kutokana na kuitikia ombi langu la kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu aliyekuwa anaumwa.

Nilipata michango kiasi cha shilingi laki nne hivi. Niliweza kwenda na vijana wangu wawili.

Nilikuta amelazwa Hosp ya rufaa Mbeya. Nilifanikiwa kuongea naye na tulifanikiwa kushikana mikono na kutangaziana msamaha.

Tuliendelea Kuuguza na ilipofika 21/2 alifariki. Tulizika 23!2 tulimzika.

Nawashukuru sana. Mungu awabariki.
Pole kwa kumpoteza mzazi mwenzako, Mungu akutie nguvu wewe na wanao
 
Daah hukutosheka kipindi kile umemrudia tena?
Kwanini umwandame mama wa watu hivi?
Inakusaidia nini?

Ni beggar hii si mara kwanza!

There is something so cloudy about this lady...

Imagine ana kazi,ana kipato chake,ila mara kwa mara anaomba kitu kupitia JF kwa kutumia thread alizoandika kwa kiswahili sanifu chenye kuvutia msomaji aingie kingi atoe msaada?Ana social manipulation,ambayo in a sense ni utapeli,although huwenda anatumia matatizo ya kweli kuombea hiyo misaada!

Recurring begging is a problem!
 
Acha laana ya dua la kuku kwa mwewe!

Unaongea as if you are the cleanest person on earth!

Kuomba msaada wa bure ni tofauti na kuomba mkopo...

Mungu hana uhusiano wowote na ukisemacho kwenye post yako.

Kufiwa,kila siku tunafiwa na wapendwa wetu,kufiwa mimi sio shida yako,na kufiwa wewe sio shida yangu..usijifanye special kwa kufiwa!

Huwezi kujua nani kamtelekeza nani.Huwezi toa judgement in favor ya Mamdenyi wakati muhusika hayupo hapa.Huwenda Mandenyi ndio instigator aliemuacha mumewe..Always mnapitisha judgement blindly!No one is saint,either mwanaume au mwanamke!

Acheni ombaomba.com na mamdenyi wenu!
Kama ambavyo wewe umepitisha judgement kwa Mamndenyi wakati humfahamu. Nimepitia michango yako katika uzi huu na ule wa kuomba msaada kweli acha MUNGU aitwe MUNGU. Iko siku na Majira yake ambayo hatuijui kwa kuwa huja kama mwili. Kila la heri.
 
Huna haja ya kumtaja "MUNGU" wako kwenye post ya mwanadamu dhaifu kama mimi,kwanza hujui kama namtambua...Ni revelant kwako wewe,kwangu ni irrelevant.Sijui maana ya neno "MUNGU",is it you are insulting me?

Usinitishe na Mungu!Kwanza kwanini unatishia watu na Mungu?Inaonesha una roho mbaya ya kisasi,na huyo Mungu wako ni wa visasi,ni violent,hana maana.Ana roho hovyo kama za kwetu wanadamu.Keep him for yourself!

Mkuu,namjua kupitia posts za watu wanaomjua wanazopost,kua sijui ni mwalimu,sijui anakaa Arusha,sijui ana umri wa makamo,etc..kwa vile wanamjua,nachukua maneno yao kama sahihi mpaka labda yeye au mtu ayapinge...sijaona ayapingae mpaka sasa,hivyo by default nimeyachukua kama source ya information kwangu!Ndio nimejenga hoja zangu kutoka kwao!Kumjua one on one,sijawahi muona whatsoever!
 
Ni beggar hii si mara kwanza!

There is something so cloudy about this lady...

Imagine ana kazi,ana kipato chake,ila mara kwa mara anaomba kitu kupitia JF kwa kutumia thread alizoandika kwa kiswahili sanifu chenye kuvutia msomaji aingie kingi atoe msaada?Ana social manipulation,ambayo in a sense ni utapeli,although huwenda anatumia matatizo ya kweli kuombea hiyo misaada!

Recurring begging is a problem!
Mimi naona bora ombaomba mwenye roho nyeupe na mkweli.
Hivi nani amekupa jukumu la kubadili tabia za watu humu?
Wtz mila na jadi ni kusaidiana.
Umemwandama sana huyu mama.
Pamoja na hayo watu walijitoa kumsaidia, huoni haya?
 
Sina kazi ya kubadili tabia mzee.Natoa facts kadiri niwezavyo,ili kwa anaetaka kutumia the same method ajifikiri mara mbili...

Kubadili tabia za watu huyo "Mungu" wenu mwenyewe kawashindwa,ndio mimi?Sifanyi biashara kichaa
 
Back
Top Bottom