Shukrani kwa kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu, amefariki dunia

pole sana tupo pamoja
 
Mama pole na msiba , Kweli nimejua jamii forum ni zaidi.Wabarikiwe wote waliowezesha mama/dada yetu mamndenyi kwenda kumwona mwenzie katika dakika za mwisho na hatimaye kuwezesha kumpumzisha kwa amani.
 
Ukizeeka Utakuwa mchawi naona imekuuma kwelikweli.

Yes ,imeniuma watu kugeuka ombaomba..watu wazima wenye usomi,miguu miwili na mikono,na akili kubwa tu,ana-resort into begging...this is where we are going to as a society!

Happy to know!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…