Shukrani: Nawashukuru kwa kunichagua. Uchaguzi ulikuwa huru na haki

Shukrani: Nawashukuru kwa kunichagua. Uchaguzi ulikuwa huru na haki

Yaani huu uchaguzi ukimuuliza mtu mwenye akili timamu ni kama unamdharau

Unaweza kutumika kama kipimo Cha wale wagonjwa Wa akili Ili uweze kujua maendeleo yake unamuuliza tu unaonaje kilichotokea kwenye uchaguzi Kwa wale wenye nafuu lazima watakwambia hakukua na uchaguzi
 
Back
Top Bottom