Kwa taarifa yako sio muhindi tu hata magari yetu ya kubeba watalii mlizuia kuingia Kenya, mkazuia fastjet kuoparate Kenya kisa walioomba kibali ni watz Ila tulivyojibu mapigo mkaachia wenyewe. Magu aliishi na nyie the way mnavyoishi na sisi, mliigeuza tz shamba la bibiUtakua umevimbiwa wewe, huyo mhindi azuiwe ili iweje, mbona wengine hawazuiwi.
Kwa taarifa yako sio muhindi tu hata magari yetu ya kubeba watalii mlizuia kuingia Kenya, mkazuia fastjet kuoparate Kenya kisa walioomba kibali ni watz Ila tulivyojibu mapigo mkaachia wenyewe. Magu aliishi na nyie the way mnavyoishi na sisi, mliigeuza tz shamba la bibi
Huko Kenya hali ikoje kwa matajiri? Wote ni wajaluo?Watz wenye akili wanapiga biashara sana Kenya na kunufaika, mivivu tu ndio mpo hapo mnalia lia miaka yote, tatizo mlilemazwa na ujamaa mpaka kwenye akili.
Leo hii hamna Mtanganyika mweusi kwenye matajiri ishirini bora Tanzania, mumetafunwa na Wahindi na Waarab hadi basi.
Wakenya ni wabinafsi, na ubinafsi wao ni wa asili, umetokana na ukabila walionao. Mfumo wao wa maisha, biashara, siasa vyote vinaendeshwa kikabila. Nchi ya namna hii usitegemee ikawa na ujirani ulio mwema.
Magufuri alikuwa sawa kabisa, huwezi kuwa na jirani mbinafsi kama kenya ukachekacheka nae.
Huyu mama ni muoga tu, subirini jembe litalokuja baada yake, wembe utakuwa ni ule ule.
Hao majirani mnaowapigia debe, wao walishawahi kuwa wema kwa Tanzania?
Tunaskia daily malori kutoka Tanzania yanazuiwa kuingia huko kwao
Mahindi Kenya ni political. Sasa hivi kuna meli ya tanni 10,000 imezuiwa Port. Corruption, wheeler-dealers na politicians Ina wahusu. Hawataki mahindi kutoka TZ kwamaana bei itakuwa nafuu kwa raia, na hawawezi kuendesha beiMagufuli anaweza kuwa hakuwa sahihi lakini Kenya haijawahi kuwa na nia njema na Tanzania.
Wakenya wanapuzuia mahindi ya Tanzania kwa kusema yana sumu kuvu, miaka na miaka Watanzania wanapata hasara hilo hamlioni ama mnajiandikia tu kama vile mmeshikwa makalio?
Umewahi ku export chochote kwenda Kenya uone adha unayokutana nayo?
Tena sana. Unakumbuka wakati wa Covid bidha ilioza border?Fuatilia takwimu, kuna Watanzania wengi sana wanauza bidhaa Kenya, kila siku malori yanapita mpakani kuja Kenya, uliza wenzako wanafanyaje kuweza kunufaika na hili soko wacha ukajanja mwingi wa kibongo bongo na kulia lia.
Kenya scraps work visa for TanzaniansMakenya majinga kweli yanataka yaifanye tz kawa sisi ni wajinga, walete bidhaa zao kwetu, walete wafanyakazi na wafungue biashara huku. Ila sisi tukitaka kufanya kwao hawataki, Magu nilimkubali sana alivyowatreat wakenya