Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Unajua ile mbwembwe aliyokuja nayo humu jf nikadhani kuna jimbo jipya anaenda kuwania, kumbe ni kwa Selasini. Ni kamanda mwenzangu hata hivyoSwali zuri mkuu though kwa upande mwingine hii hali ikiendelea ni nzuri kwa kuboresha demokrasia nchini vinginevyo tukisema huyu ni mwenzetu tumwache mpaka atakapoamua ni kufifisha demokrasia, kikubwa wakati watu wanashiriki kura za maoni kusiwe na hali ya kuleta hujuma