Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kamanda vipi wewe umegombea Jimbo gani? au Urusi?Hekima hutoka kinywani pa mwenye hekima, na mwenye hekima huishi malango ya hekima!
Bravo Ben Saanane
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda vipi wewe umegombea Jimbo gani? au Urusi?Hekima hutoka kinywani pa mwenye hekima, na mwenye hekima huishi malango ya hekima!
Bravo Ben Saanane
Teh Teh...Duh umekatwa mara nyingi wewe kijana tafuta kazi nyingine ufanye
Kamanda vipi wewe umegombea Jimbo gani? au Urusi?
Mkuu Ben, asante kwa maneno haya, umeonyesha ukomavu mkubwa na wa hali ya juu katika medani za kisiasa, kukubali kushindwa, lakini pia kushukuru kwa kidogo ulichopata!, pia najua japo hujalalamika humu, lakini natumaini utakuwa umepeleka malalamiko yako ndani ya vikao rasmi vya chama, ila kwa vile Chadema sio chama sikivu, kule hutasikilizwa, atapitishwa tena Joseph Selasini, and that being the case, na kufuatia track record ya utendani wake, kama CCM wakimsimamisha mtu makini!, Jimbo la Rombo linarejea CCM!.Mchakato wa awali wa kura za maoni Rombo katika kinyanganyiro cha ubunge jimbo la Rombo umekamilika.
Kwanza,Nampongeza sana Mbunge wa Zamani wa Rombo Mhe.Joseph Selasini kwa idadi ya kura alizopata.
Pili,Nawashukuru wagombea wenzangu kwa kunipigia kura nyingi katika kipengele cha Wagombea kupigiana kura
Tatu,Nawapongeza wajumbe wote walionipigia kura.
Nne,Nawashukuru sana marafiki zangu walionipa sapoti kwahali na mali katika mapambano haya.Hakika sikuwahi kujisikia mwana-Familia wa JF kama kipindi hiki.
Nawashukuru sana wanahabari kwa kuwa mstari wa mbele
Ben Saanane
Mkuu , huu ni ushauri wa busara sana, ili ukiishachaguliwa kiongozi Chadema, unajua deadlines zako, katika kipindi hiki cha miaka 10, Chadema inakuwa iko kwenye mikakati ya kuandaa succession plan, na kama ikitokea jimbo fulani halina able people, grooming inafanyika kabla, mfano jimbo la Moshi mjini, naamini tangu ile 2010 Ndesapesa anarudi, aliishajua hiki ndio kipindi chake cha mwisho, tangu wakati huo succession plan mechanisim would have been in place!.Nashauri Chama kifanyie mabadiliko Katiba yake. Iwe marufuku kwa mwananchama kuwa mbunge zaidi ya mara mbili katika jimbo ambalo alikuwa mbunge. Hii itasaidia kupanua wigo wa wanachama wengi zaidi kutumikia wananchi.
Kwani Rombo kuna Mfalme?Kwa nini ulienda kugombea jimbo la Kamanda mwenzio? Kwani alisema hagombei tena?
Mkuu MTAZAMO, naunga mkono hoja, kilichomkuta ZZK ni funzo tosha kwake!.Ben is very smart..... kwa umri wake mfupi katika siasa za Tanzania unaweza kuona namna anavyojijenga bila papara.... very potential politician in near future..... chama mtengenezeni huyu..... msikwazwe na pressure ya kiu iliyo ndani yake.....taratibu tutafika.....
Mkuu , asante kwa hili, JF n darasa, naamini hili somo Ben Saanane atakuwa amelielewa!.Ukiacha Akunay, hakuna mbunge mwingine hadi sasa wa CDM aliyeangushwa katika kura za maoni. Hii inatoa picha fulani beyond Rombo. Kwa maoni yangu ni kuwa nchi nzima, wananchi wanaounga mkono CDM, wanaiunga kwa sababu wanatamani kuiondoa CCM. Hivyo katika majimbo yanayowakilishwa na CDM unaweza kuona kabisa wanaCHADEMA wanaona kama mbunge ndiye kamanda yao katika movement dhidi ya serikali... Kama ni vita basi mbunge anatazamwa kama kamanda wa kikosi aliyeko mbele kabisa.
Wananchi hawajali sana juu ya utendaji wa mbunge kwenye mambo ya maendeleo jimboni maana wanatambua kuwa kizingiti kikubwa ni serikali kuu, ya CCM.
Naamini itakuwa ngumu kidogo, au itahitaji strategy tofauti sana kuwashawishi wanaCHADEMA kuwa "kamanda tuliye naye sasa sio sahihi"...
Kwa nini ulienda kugombea jimbo la Kamanda mwenzio? Kwani alisema hagombei tena?
Mkuu , huu ni ushauri wa busara sana, ili ukiishachaguliwa kiongozi Chadema, unajua deadlines zako, katika kipindi hiki cha miaka 10, Chadema inakuwa iko kwenye mikakati ya kuandaa succession plan, na kama ikitokea jimbo fulani halina able people, grooming inafanyika kabla, mfano jimbo la Moshi mjini, naamini tangu ile 2010 Ndesapesa anarudi, aliishajua hiki ndio kipindi chake cha mwisho, tangu wakati huo succession plan mechanisim would have been in place!.
Hivi ndivyo walivyotaka waasisi wa Chadema, na kipengele hiki kilikuwepo kwenye the original Katiba ya Chadema iliyowasilishwa kwa Msajili wakati Chadema inaundwa!, ila kwenye mabadiliko ya Katiba ya Chadema ya mwaka 2006, kipengele hicho kilinyofolewa kinyemela, na hakuna maelezo yoyote kiliondokaje!. Niliwahi kulizungumzia hili humu, Jee CHADEMA inaendeshwa Kwa Katiba "Fake"?. Japo wengi walinishukia, lakini Mkuu Ben Saanane, ni miongoni mwa wachache walionielewa!. Up to date, hakuna jibu lolote credible, kwa sababu waasisi walikiweka kipengele hicho for a reason, kilipoyeyuka tuu kimya kimya na wahusika kukaa kimya as if nothing has happened, pia it is a reason enough kuwa hakikujiyeyukia tuu hivi hivi just like that!.
May be in future, Chadema kikikua zaidi na kukomaa zaidi hili litawezekana!.
Pasco
Mkuu Ben, asante kwa maneno haya, umeonyesha ukomavu mkubwa na wa hali ya juu katika medani za kisiasa, kukubali kushindwa, lakini pia kushukuru kwa kidogo ulichopata!, pia najua japo hujalalamika humu, lakini natumaini utakuwa umepeleka malalamiko yako ndani ya vikao rasmi vya chama, ila kwa vile Chadema sio chama sikivu, kule hutasikilizwa, atapitishwa tena Joseph Selasini, and that being the case, na kufuatia track record ya utendani wake, kama CCM wakimsimamisha mtu makini!, Jimbo la Rombo linarejea CCM!.
Hongera for trying, hongera kukubali matokeo!, na hongera kuendelea kuwa mwanachama mwaminifu, mtiifu na mvumilivu wa Chadema, angekuwa mwingine, saa hizi mawazo yake yangekuwa kuelekea kwenye next destination!.
Pasco