eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Mi namwambia bado muda wake haujafika anaforce tu at end of the day atapotea kabisa rombo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu ACT mida 8 kama ni kweli
Hiyo title ya uzi, utadhani ina-confirm the issue, kumbe umekuja kuuliza! uandishi mwingine bhana
Salaam JF
Naomba mnijuze je ni kweli Kamanda Ben 8 kahamia ACT na kutangaza nia ya kugombea Rombo?
wenu mtiifu
Jasho la damu
Wewe nawe pumba kabisa,Sasa mbona umeandika kama una uhakika kuwa amehamia ACT?
Ungekuwa humble hivi miaka yote
na usingejihusisha na mgogoro wa aina yoyote ndani ya CHADEMA
nina uhakika leo ungekuwa unashukuru kupewa nafasi ya kugombea ubunge au chochote kile
anyway...jipange upya...kuna so many opportunities still huko mbele
Ben ameandika vizuri kupitia ukurasa wake wa fb,kuonesha kuwa yeye bado mwanachama mtiifu wa CDM.Ben hawezi hama,maake kaitumikia sana CDM japokuwa hana bahati ktk harakati zake.Alianzia uenyekiti BAVICHA tena mara mbili akaenguliwa,akajitosa UJUMBE wa kamati kuu jina lake likakatwa kama la EL,Leo ameingia kwenye ubunge yeye mwenyewe anadai kura hazijatosha ila amekata rufaa kamati kuu itaamua.Siasa ni balaa wajameni!
Sasa unampa ushauri gani?Yaani kura 26 kwa 300 anakata rufaa? Ubunge atausikia redioni tu wana Rombo siasa za fitina na majungu hawazitaki