Shukrani,Tahadhari na Rai yangu baada ya mchakato wa awali kura ya Maoni Rombo

Shukrani,Tahadhari na Rai yangu baada ya mchakato wa awali kura ya Maoni Rombo

nilikushauri kukaa pembeni ili tumpe selasini another chance amalizie kazi aliyoanza,anyway sikupenda jinsi ulivyoingia kichwa kichwa huku wana Rombo wakikosoma kwa mbali kama hawaoni vile,heshima yako imeshuka kidogo bora ungetulia hapo heard office ungepata heshima zaidi,,,,,
 
Chadema inahitaji sana watu wa aina yako. usikate tamaa, fursa bado nyingi kaka
 
huu tunauita uvumilivu wa kisiasa (political tolerance)

wewe na lowassa hamtofautiani sana mnaijua siasa sana.

please baada ya maamuzi ya kamati kuu usijehamia act

Huko nina uhakika 100% Ben hawezi kuhamia huko wala kuhama chadema.Siasa ni mchakato. Offside nyingi goli hupatikana. Ben bado ana nguvu sana ndani ya chama chake na ni muelewa.Unafahamu nafasi kubwa kama hizo kwa K'njaro mara nyingi maamuzi hutokana na wazee. Wakisema subiri wewe ukakurupuka hupenyi. Hivi wazee wameshamwona Ben uwezo wake kisiasa ukiongeza na elimu yake nzuri wanamuandaa baada ya Salasini anapanda yeye. Ben makao makuu anzo shughuli muhimu udiwani unataka uwepo kijijini moja kwa moja nisingependekeza hivyo.Yeye anao uwezo wa kuendesha kurugenzi makao makuu. Washirikiane wote kulitetea jimbo lisiangukie mikononi mwa maadui kisiasa.Hata hivyo umri wake bado ni kijana nafasi anayo.
 
Tunakuomba uje ugombee huku kwetu Jamii forums naamini huku utapita bila kupingwa.
 
Ushauri wangu kwako ndugu yangu ben, watumikie wananchi wa rombo kupitia udiwani huku ukijijenga kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao, sio lazima kuwatumikia kupitia ubunge. Aluta continue
 
Very nice article. Nimeipenda sana hiyo. Ila msimamo wangu kuhusiana na wewe kupanda majukwaani kwa ajili ya kunadi sera kwa ajili ya kutafuta kupigiwa kura bado haujabadirika. Uwezo wa kuongoza unao sana, ila kwa sasa unastahili kuwa sehemu nyingine tofauti ukifanya mengine, then baadaye ndipo uweze kujitokeza katika siasa za majukwaani, kwa sasa ni mapema sana.
 
Wewe nawe pumba kabisa,Sasa mbona umeandika kama una uhakika kuwa amehamia ACT?
 
Haaaa kashatoa tamko anasubiri maamuzi ya chama kuhusu kugonbea ubunge rombo zile ni kura za maoni tu.
 
Hiyo title ya uzi, utadhani ina-confirm the issue, kumbe umekuja kuuliza! uandishi mwingine bhana
 
Back
Top Bottom