Unajua ile mbwembwe aliyokuja nayo humu jf nikadhani kuna jimbo jipya anaenda kuwania, kumbe ni kwa Selasini. Ni kamanda mwenzangu hata hivyoSwali zuri mkuu though kwa upande mwingine hii hali ikiendelea ni nzuri kwa kuboresha demokrasia nchini vinginevyo tukisema huyu ni mwenzetu tumwache mpaka atakapoamua ni kufifisha demokrasia, kikubwa wakati watu wanashiriki kura za maoni kusiwe na hali ya kuleta hujuma
Tatizo kamanda Ben alitumia nguvu nyingi sana kujinadi humuKwani Rombo kuna Mfalme?
Tatu,Nawapongeza wajumbe wote walionipigia kura.Sikutumia fedha nyingi.Sikuwashawishi kwa fedha bali kwa hoja zangu.Nina deni la kuwalipa kwa imani hii kubwa walionionyesha.
Ben Saanane
RIP Ben Saanane!.Mungu Ibariki CHADEMA,Mungu
Aluta Continua,Victory Ascerta
Ben Saanane
Mmmmh ! 😳RIP Ben Saanane!.
P
RIP Ben Saanane!.
P
Hii akili ya huyu kijana ilikuwa bado inahitajika Chadema na kwa Watanzania.Asante sana na Hongera kwa kudhubutu. Mara kadhaa niliwahi kusema kuwa sina shaka na wewe katika mikakati ya kuwasaidia watanzania kujitegemea na kujiletea maendeleo. Bado nina msimamo huo.