wape dozi kiongozi!......Imeandikwa utaachana na baba na mama yako, utaambatana na mkeo nanyi wawili mtakuwa kitu kimoja. Umoja wenu ukiunganishwa na makubaliano na mipango yenu kisha MUNGU akaweka KIBALI ndipo watoto hutokezea.
Usisahau: DUNIA NA VYOTE VIIJAZAVYO NI MPANGO WA MUNGU!
" ......Bwana Mungu akamwambia Adamu,nendeni MKAZALIANE NA KUIJAZA nchi.........."Nadhani kitabu cha mwanzo.
Hommie na wewe umesoma wapi na mawani yako ya mbao paliposema kuwa hilo ni lengo KUU?
Ila ni mojawapo ya malengo...kuanzisha familia, yenye kuwa na watoto
usitake nikaibue ile sred ya kwa nini watu wanaoa wakiwa wameshawajaza vimimba kabisa...nikailete?
hahaha tusimletee msongo wa mawaza bwana harusi mpya ila ni angalizo tu..come 13/2/2011, thats another milestone baada ya tare 24/4 siku 100 baada ya ndoa.
tuendelee
Charity, hao wanataka kwenda kinyume na mpango wa Mungu tangu mwanzo lol!😡😡
Hata kwenye kiapo ipo kwamba: "Je, mpo tayari kuwalea kwa mapendo watoto mtakaojaliwa/mliojaliwa kwenye maisha yenu?" na watu wanajibu NDIYO. MI kwenye hii sijamsikia akisema HAPANA. ushahidi upo....
Mi nakupongeza sikuona dalili zozote za shem kuvimba tumbo maana wengine huwa wanatest kwanza kama productive wanavimbisha tumbo siku harusi bi. harusi anakitambi. Hongera sana kijana hujaonyesha tamaa.
Na Mungu akiamua msipate watoto NDOA inavunjika?
Mie huwa nashangaaga sana.Eti uzazi wa mpango ,nyota ya kijani.Hizi ni dhambi kubwa?Charity, hao wanataka kwenda kinyume na mpango wa Mungu tangu mwanzo lol!😡😡
Hata kwenye kiapo ipo kwamba: "Je, mpo tayari kuwalea kwa mapendo watoto mtakaojaliwa/mliojaliwa kwenye maisha yenu?" na watu wanajibu NDIYO. MI kwenye hii sijamsikia akisema HAPANA. ushahidi upo....
Mie huwa nashangaaga sana.Eti uzazi wa mpango ,nyota ya kijani.Hizi ni dhambi kubwa?
Zaa watoto wako 11 kutekeleza agizo la Mungu.Wazungu wanajuta sahizi na uzazi wa mpango.
Na ndio maana mtu akikosa watoto anakesha kanisani au kwa waganga.
Kizazi kibaya hiki cha kutoa mimba eti uzazi wa mpango.
Zaa watoto wote mpaka mbegu ziishe.
ASKOFU! Nani alikudanganya lengo kuu la ndoa ni kupata watoto?
Isipokuwa na watoto inakuwa si familia? Familia ni nini?
Mi bana ndo huwa nakushangaaga samtaimz. Jana inaelekea hukunywa miksa! Pointi hii umemwaga. Watoto ni majaliwa ya Mwenyezi MUNGU.
hapo ndoa imesimama kabisa hommie, hakuna ndoa inaweza kuvunjika eti kwa vile haina watoto! hilo liko clear
kwa upande mwingine, tunategemea kuwa watu wawili wanapofunga ndoa lengo MOJAWAPO ni kupata watoto!
Sasa Geoff hapa tutamuuliza tu!
Hicho Kiapo ni MAAGIZO ya MUNGU?
X-pin, tuweke uzungu na unafiki kando halafu tuseme ukweli wa Kiafrika... Umeoa Mke, amekaa mwaka mmoja hajapata mtoto, utaona eyebrows zinaanza kuinuliwa... na maswali kibao... mwaka wa pili ukipita inakuwa balaa... tusidanganyane...
Tunategemea sisi kama binadamu, sawa. Je Mungu akipanga vinginevyo? Samahani leo niko ki- Max Shimba zaidi!
Geoff mtamuuliza kwanini hajapata mtoto? Utakuwa labda ushamimina ndovu kadhaa!
hapo ndoa imesimama kabisa hommie, hakuna ndoa inaweza kuvunjika eti kwa vile haina watoto! hilo liko clear
kwa upande mwingine, tunategemea kuwa watu wawili wanapofunga ndoa lengo MOJAWAPO ni kupata watoto!
Sasa Geoff hapa tutamuuliza tu!
Sikatai. Nashtushwa kidogo kuwa je inapotokea hivyo kwa kuwa ni Mpango wa Mungu. Hiyo ndoa tuisarambatishe kijana akatesti zari kwingine?
Meku umesahau? hicho kiapo ni sehemu ya adhmisho la sakramenti ya ndoa--probably the oldest sacrament! sasa hapo unahoji uhalali wa sakrament yenyewe mkuu! watch ur steps apo!😀
si ndo hapo!mimi everyday ni valuu,na sio hilo linalofikiriwa na kaizer na askofu,lol
Kumbe ndo unakoelekea?Geoff usisome hapa and dont try this at home!