watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA
watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA
babu naona umesimamia kidole gumba babu yangu loh.
sasa nani ni mwana-mama hapa?
Mr. & Mrs. Geoff, nawatakia heri na fanaka na baraka tele katika maisha yenu mapya mlio anza pamoja, Mungu awabariki na awalinde na mabaya yote, awajalie watoto wengi na wazuri na muwalee katakia maadili ya kimungu zaidi na elimu bora. GOD BLESS YOU! GLORY TO GOD.
Umeanza hivyo!!Hahaha! Mjukuu wangu baba zako wanachota busara zangu kijanja bila kulipia twishen fees! Hahaha! Hiyo ya kusimamia kidole gumba................ Where is my mawani?
naam. hilo ndo swali la msingi sasa. Chrispin anaogopa malink!😀
awajalie watoto wengi na wazuri na.
Umeanza hivyo!!
Niliuliza hilo nikaambiwa askofu ni lazima awe baba. Si babu wala mjomba. Lakini kuna watu kama kina mama Lwakatare ni askofu. Nikakaa kimya ili nisiwekewe malink, si unajua mi mvivu kusoma?
Kila mtoto anariziki yake atawalea tu, naona atajipanga vizuri he said after 4 yrs then he will start having babies (if I quoted him wrong)Utamsaidia kulea wangapi? Kuna mmoja yuko nasari skuli hivi sasa.
Mama Lwakatare ni Mchungaji...
Kila mtoto anariziki yake atawalea tu, naona atajipanga vizuri he said after 4 yrs then he will start having babies (if I quoted him wrong)
Treni ishaondoka mkuu. Kishakuwa askofu! Yule ni Askofu Mheshimiwa Mbunge Dokta Lwakatare. Muda si mrefu atakuwa Kadinali.
Mama Lwakatare ni Mchungaji...
Nakutakia mafanikio mema binamu, mbona enzi zile kwa baba na mama mmoja watoto wako 15, hakuna kinachoshindikana dunia hii ni mpangilio tu.Mi nitahakikisha nakuwa na watoto 12 na kuendelea ni malengo niliyo jiwekea kuanzia 2013.
Currently Active Users Viewing This Thread: 19 (8 members and 11 guests) Kaizer, Askofu, Ayayoru, Charity, Lily Flower, mitimingir, Sugar wa Ukweli
Nakutakia mafanikio mema binamu, mbona enzi zile kwa baba na mama mmoja watoto wako 15, hakuna kinachoshindikana dunia hii ni mpangilio tu.