SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA

Nauliza swali; Familia ni nn?
Unajua watu wanategemea baada ya mwaka wakuletee mizawadi kwa baby wewe umepiga hesabu za miaka 4 ijayo lol. Lakini tuliwaambia kuwa kuzaa watoto/mtoto inategemea na mipangilio ya baba na mama.
 
watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA

sasa hapa tupo ukurasa mmoja..na maadamu umesema at least 4 yrs later na ukaiwekea condition KAMA ITAWEZEKANA, thats cool and it gives us a reason to give you a benefit of doubt. we are watching though!😀😀
 
Mr. & Mrs. Geoff, nawatakia heri na fanaka na baraka tele katika maisha yenu mapya mlio anza pamoja, Mungu awabariki na awalinde na mabaya yote, awajalie watoto wengi na wazuri na muwalee katakia maadili ya kimungu zaidi na elimu bora. GOD BLESS YOU! GLORY TO GOD.
 
babu naona umesimamia kidole gumba babu yangu loh.

Hahaha! Mjukuu wangu baba zako wanachota busara zangu kijanja bila kulipia twishen fees! Hahaha! Hiyo ya kusimamia kidole gumba................ Where is my mawani?
 
Mr. & Mrs. Geoff, nawatakia heri na fanaka na baraka tele katika maisha yenu mapya mlio anza pamoja, Mungu awabariki na awalinde na mabaya yote, awajalie watoto wengi na wazuri na muwalee katakia maadili ya kimungu zaidi na elimu bora. GOD BLESS YOU! GLORY TO GOD.

Utamsaidia kulea wangapi? Kuna mmoja yuko nasari skuli hivi sasa.
 
naam. hilo ndo swali la msingi sasa. Chrispin anaogopa malink!😀

Hahahaha! Hehehe! LOL! Si unajua tushazoea kusolvu maproblem kwa makalkulesheni tena limits lazima ziwekwe. Na factor of safety!
 
Umeanza hivyo!!

Kule unataka kutafuna watu huku unaleta ya kusimamia vidole gumba. BTW unavifahamu vitanda vya kamba vya kimakonde? Sasa balaa mtu akusimamie na kidole gumba pale mjukuu wangu. Hahaha Kama mbuzi kagoma kwenda vile!
 
Niliuliza hilo nikaambiwa askofu ni lazima awe baba. Si babu wala mjomba. Lakini kuna watu kama kina mama Lwakatare ni askofu. Nikakaa kimya ili nisiwekewe malink, si unajua mi mvivu kusoma?

Mama Lwakatare ni Mchungaji...
 
Utamsaidia kulea wangapi? Kuna mmoja yuko nasari skuli hivi sasa.
Kila mtoto anariziki yake atawalea tu, naona atajipanga vizuri he said after 4 yrs then he will start having babies (if I quoted him wrong)
 
Kila mtoto anariziki yake atawalea tu, naona atajipanga vizuri he said after 4 yrs then he will start having babies (if I quoted him wrong)

Is there any difference btn babies and children?
 
Mi nitahakikisha nakuwa na watoto 12 na kuendelea ni malengo niliyo jiwekea kuanzia 2013.
Nakutakia mafanikio mema binamu, mbona enzi zile kwa baba na mama mmoja watoto wako 15, hakuna kinachoshindikana dunia hii ni mpangilio tu.
 
Nakutakia mafanikio mema binamu, mbona enzi zile kwa baba na mama mmoja watoto wako 15, hakuna kinachoshindikana dunia hii ni mpangilio tu.

Yeah unajua watu siku hizi uzungu mwingi wanakuja na uzazi wa mipango sijui nn...lakini enzi hizo watu walikuwa wanadumisha mila kweli. Mi naendeleza hizo mila
 
Back
Top Bottom