Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Baba, Mama na Watoto
Classical definition. Nimempa link akasome mwenyewe lakini najua atakuwa ameipotezea tu!😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba, Mama na Watoto
Unapojitambulisha ugenini sehemu unasema "nimekuja na mke wangu" sio "nimekuja na familia yangu"
Unapojitambulisha ugenini sehemu unasema "nimekuja na mke wangu" sio "nimekuja na familia yangu"
Hehehe sasa mama akifariki na akabaki baba na watoto inakuwa familia au nn?
Si umeona kijana unavoanguka pointi leo? Ngoja kaizer na askofu wanifafanulie na hii.
Classical definition. Nimempa link akasome mwenyewe lakini najua atakuwa ameipotezea tu!😀
Nasikitika nimesahau kale kabiblia kangu. Ntaipitia baadaye. Lakini ukweli ni huu: NCHI NA VYOTE VIIJAZAVYO NI MPANGO WA MUNGU NA NI MALI YAKE PIA.
Sasa wanandoa wanapokosa mtoto na talaka ndo imepigwa ban bado still tuna courage ya kumuuliza mtu MBONA HUJAPATA MTOTO na ndoa yako ina miaka miwili sasa?
Hahahaha hawana jibu hapo.
Eti familia ni baba, mama na watoto sasa pindi mmoja anapotoweka inakuwa nn sio familia tena?
Hehehe sasa mama akifariki na akabaki baba na watoto inakuwa familia au nn?
Hapa si kujitambulisha bandugu. Naulizia uhalali wa kuitambua kama ni familia au la! Naweza nijitambulishe ugenini pia kuwa nimekuja na mke wangu na mtoto wangu. Si lazima utambilishe nimekuja na familia. Hapa nilitaka kujua unapokuwa na mkeo na bahati mbaya hamjapata mtoto au mtoto wenu ametangulia mbele ya haki, hiyo haitambuliki kama FAMILIA?
haha hommie NIMEKUELEWA.Siku nyingine bana usiulize kama huna reference at hand😀
hapo kwenye red....hoja imeshajibiwa more than twice nadhani, inategemea wamekosa kwa sababu gani lakini hakuna sababu ambayo ni justifiable kwa wao kuachana..hakuna kudumisha mila
huyu wa kwetu bado hajafikia huko...ndo maan akijamii hatuwezi kumhoji kwa sasa....ila muda utafika tu tuulizie 'ee bana vipi ndio mpango wa Mungu ama vipi'?😀
Fidel acha kuleta kiswahili murefu.... umeshasema watoto sio lazima, sasa mama akifariki si anabaki baba, kumbuka hawana mtoto
Mtoto atoke wapi wakati umesema sio lazima mtoto?? Unasema Mimi naitwa Ndg. X-pin na nimeambatana na mke wangu... nani vile?
Hehehe sisi tunasema familia inaanza na baba na mama hao watoto kuwapata kwanza ni majaaliwa.
Hehehe sasa mama akifariki na akabaki baba na watoto inakuwa familia au nn?
Hapa nilitaka kujua unapokuwa na mkeo na bahati mbaya hamjapata mtoto au mtoto wenu ametangulia mbele ya haki, hiyo haitambuliki kama FAMILIA?
Si umeona kijana unavoanguka pointi leo? Ngoja kaizer na askofu wanifafanulie na hii.
Hehehe sisi tunasema familia inaanza na baba na mama hao watoto kuwapata kwanza ni majaaliwa.
Tunasubiri 2011 kama ulivyoahidi... halafu 2012 tunakuuliza.... kwani huko unakodumisha mila (kati ya wale 6) hakuna hata wa kusingiziwa kwamba mpira ulipasuka?
Hahaha hommie bana. Sijui ndo maana nauliza.
Hapo kwenye red,I hope utakuwa ushapata vitu kadhaa vya baridi kichwani ndo upate kareji hiyo. Manake nshashuhudia mtu kaulizwa hivyo badala ya kujibu akaangua kilio.
Nadhani hujaelewa. Wewe ulisema familia ni baba, mama na watoto. Sasa katika kuchalenji definition yako, Fidel akakuuliza katika hiyo definition yako, inapotokea mama amefariki, inakuwa si familia tena? Au watoto wamefariki inakuwa si familia tena? Hapo ndipo tunapotaka ufafanuzi mhashamu askofu.
"Family is a group of people or animals (many species form the equivalent of a human family wherein the adults care for the young) affiliated by consanguinity, affinity or co-residence. " (emphasis added)
"One of the primary functions of the family is to produce and reproduce personsbiologically and socially" (emphasis added)
"However, producing children is not the only function of the family; in societies with a sexual division of labor, marriage, and the resulting relationship between two people, is necessary for the formation of an economically productive household." (emphasis added)
"A conjugal family includes only the husband, the wife, and unmarried children who are not of age. The most common form of this family is regularly referred to in sociology as a nuclear family."
"A consanguineal family consists of a parent and his or her children, and other people."
"A matrilocal family consists of a mother and her children."
Source :http://en.wikipedia.org/wiki/Family