MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kituo cha Wasafi media kinamilikiwa na Muislamu, na kila Jumapili huwa kinapeperusha kipindi cha Kikristo.
Leo hapa naona pamenoga kweli kweli Wakristo wamejumuika na kumsifu Yesu kwa upendo, hapa nawaza dini zingine unakuta hata mgahawa ukimilikiwa na mtu asiye wa dini hiyo hawawezi hata kwenda kunywa chai, yaani unakuta hata kama ukimilikiwa na mtu wa dini yake lazima wahudumu wote wawe wa hiyo dini, hataki mhudumu asiye wa dini yake aguse chakula au kinywaji chochote atakachohudumiwa.
Kwa kweli Wakristo endeleeni kuonyesha kwa matendo, ndio mahubiri ya kweli, ndio njia pekee ya kueleweka, siku zinakuja Wakristo watachukiwa sana na tayari zimefika, wanachinjwa na kukatwa vichwa ila injili wanahubiri tena kwa ujasiri na upendo.
Kwingine wanaandamana kabisa hawataki kanisa lijengwe, ila Wakristo hawalalamiki wanaendelea na maombi tu na kuonyesha upendo