MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
JamiiForums Moderator Maxence Melo Active Paw Boqin Mhariri nimalizie na Cookie najua wewe uko active kufuatilia mijadala labda unaweza kufanyia kazi hili.
Huyu mtu amekuwa na uchochezi mkubwa wa kidini ,kuandika mambo ya uzushi ilimradi kuchonganisha na kila mara hata kitu kisichohusiana na mambo ya kidini lazima alete uchochezi ila amekuwa akiachwa sana bila kuonywa sasa sijui na nyinyi mna agenda gani na huyu mtu.
Humu kuna mijadala minginya kidini watu wanajadili kwa hoja na facts kuhusiana na mambo mbalimbali ,lakini huyu mtu amekuwa tofauti yeye ni mtu wa uchochezi tu na kuandika vitu vya uongo mfano wa hilo aliliniQuote hapo juu.
Hapa Tz sidhani kama tumefikia hiyo level ya chili kiasi hiki wakati muda wote watu wanaishi nyumba moja za kupanga ,kuombana chimbo ,kupeana chakula na kusaidia katika misiba na mambo mbalimbali .Sasa mtu kama huyu anapoachwa kupandikiza mbegu za chuki hakuoni kwamba kuna athari kubwa katika umoja na mshikamano wa jamii ?
Haya maandamano ya kupinga ujenzi wa kanisa yamefanywa kwenye nchi gani, uzuri Wakristo wanajibu hizo chuki zenu kwa upendo.
Wazee watu wazima kanisa wanaongoza kuandamana dhidi ya kanisa.