Huyaa Dr
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 312
- 874
Siukubali udini ila Kuna mahala wenzetu misimamo Yao mengi hayana utu ndaniHoja gani huyo kila siku kupondea ndo contents zake .
kwani humjui Max simba ndo huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siukubali udini ila Kuna mahala wenzetu misimamo Yao mengi hayana utu ndaniHoja gani huyo kila siku kupondea ndo contents zake .
kwani humjui Max simba ndo huyo.
Hana hoja kila siku😂😂wala hazina mashiko kanisa majuzi watu wameuliwa na lile gaidi lichungaji na yapo kibao je alileta uzi na waliokufa ni ndugu zake.Siukubali udini ila Kuna mahala wenzetu misimamo Yao mengi hayana utu ndani
wanapinga huu ujinga wa kuja kuua watu kwa ujinga ...
View attachment 2604568
Nan akubali hii imani ya kuua watu kwa kufunga huoni ni hatari..
Kagame alishazuia una hoja ya kusema na nyie kenya ndo mmeshtuka mtafungia yote ndo mnapata akili.
Ona ulivyokuwa mpumbavu waliokufa si ndugu zako anza pale Moshi walipokanya mafuta ...Bado kuna mchungaji kaua watu zaidi ya mia ,kumbuka kibwetere.Shukrani, ndio hicho nilikua nazungumza kuhusu, udini wenu na chuki.
90 percent ya post za mtoa mada no za kuchonganisha watu Kwa dini na mods wanamuacha Tu ..
Maxence Melo Paw Cookie ..
Wasafi inamilikiwa na Joseph Kusaga.....ambao ndo wamiliki wa clouds ....
Huyu mkenya mada zake zote ni kuponda waislam na mnamchekea why?
Kwanza Diamond ni muislam jina tu.
Kuna muislam jina na Kuna muislam kwa dini yake.
After all mtoa mada umeshapatiwa elimu hapo juu kwamba Wasafi is not your godamn religious radio, ambacho hujaelewa ni kipi?
Kusaga ana 52% ya Wasafi Media, sio mfuasi wa mtume
Huwezi ua wenzako ukabaki salama,balance of nature haihitaji kubaguana waislamu wapo Kwa Akili ya wakristo and vice versaHana hoja kila siku😂😂wala hazina mashiko kanisa majuzi watu wameuliwa na lile gaidi lichungaji na yapo kibao je alileta uzi na waliokufa ni ndugu zake.
Huyo ni Max simba alishakula ban kakonda kwa kuwachukia waislamu yaani hyo ni dhamira kila uzi unafikria ana kazi ...
Huyo yupo tayar kuua waislamu kwa njia yeyote ile ila anashindwa tu😂😂
AjiliHuwezi ua wenzako ukabaki salama,balance of nature haihitaji kubaguana waislamu wapo Kwa Akili ya wakristo and vice versa
We jamaa huna akili kabisa, sijaona mantiki ya huu uzi wako halafu unakuta kipuuzi michache ikiongozwa na jiwe angavu inakusapoti.
Chanel Ten ,ITV , Clouds nk huko kote sio vyote vinamilikiwa na Waislamu lakini kuna vipindi vya kiislamu tokea zamani na hukuti Muislamu aanzishe uzi wa kipimbi wa kidini namna hii ?
Udini wako unakusumbua unakuta Tz hatuna mambo ya kishamba namna hiyo unakuja kuleta pigo za kike na kiukewenza kujifu kununuliwa nguo mpya na Mume.
Samahani hii ni gani waislamu wanaandamana kupinga ujenzi wa kanisa
Wasafi Media ni Kampuni tofauti na Wasafi LimitedHebu check huu uzi Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED
yeap ila jamaa kazidi😂😂Huwezi ua wenzako ukabaki salama,balance of nature haihitaji kubaguana waislamu wapo Kwa Akili ya wakristo and vice versa
JamiiForums Moderator Maxence Melo Active Paw Boqin Mhariri nimalizie na Cookie najua wewe uko active kufuatilia mijadala labda unaweza kufanyia kazi hili.Inamilikiwa na muislamu ila Wakristo wanaichangamkia, lakini nyie hata kula kwa mghahawa usiomilkiwa na muislamu huwa mwiko, hamtaki mhudumiwe na kafir, mna chuki sana
Huu hapa umiliku wa wasafi Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED