Shukrani Wakristo kwa upendo, kituo cha redio kinamilikwa na Muislamu ila mmekichangamkia

Status
Not open for further replies.

Haya maandamano ya kupinga ujenzi wa kanisa yamefanywa kwenye nchi gani, uzuri Wakristo wanajibu hizo chuki zenu kwa upendo.
Wazee watu wazima kanisa wanaongoza kuandamana dhidi ya kanisa.

 
Haya maandamano ya kupinga ujenzi wa kanisa yamefanywa kwenye nchi gani, uzuri Wakristo wanajibu hizo chuki zenu kwa upendo

Huu si uzi tayari upo muda mwingi na ushajadiliwa kwa hoja na kuonyesha usahihi na pasipokuwa na usahihi ?

Hii mada ya kuhusu redio umeshinda kutetea unaingizia kitu kingine tofauti na mada unajiona upo sawa ?
 
Hili
Taifa lina watu wapumbavu sana na mlaaniwe ikiwemo wewe mtoa mada! Kwahiyo wasafi ni taasisi ya dini? Mbwa koko wewe
 
Huu si uzi tayari upo muda mwingi na ushajadiliwa kwa hoja na kuonyesha usahihi na pasipokuwa na usahihi ?

Hii mada ya kuhusu redio umeshinda kutetea unaingizia kitu kingine tofauti na mada unajiona upo sawa ?

Imebidi nikukumbushie chuki zenu kwa tukio ambalo lina uzi tayari, maana umeshindwa kujikita kwenye hoja za huu uzi....
 
Hili

Taifa lina watu wapumbavu sana na mlaaniwe ikiwemo wewe mtoa mada! Kwahiyo wasafi ni taasisi ya dini? Mbwa koko wewe

Wasafi sio dini ila inamilikiwa na muislamu, sasa nyie hata kula kwenye mghahawa wa mtu asiye muislamu huwa nongwa....
 
Kwa ufafanuzi tu... Wasafi media inamilikiwa na kusaga chini ya mwamvuli wa mkewe Juhayna kusaga-...

On paper...katika makaratasi ya TCRA...inamuonyesha Nasib abdul (Diamond) kama second shareholder 49💯..... Lakini kiuhalisia anatumiwa kama brand tu...na analipwa commission tu!

Kataa au kubali! Huo ndio uhalisia ulivyo.
 
Hiyo redio iongeze masafa ili isikike na mikoani. Ila kuna redio zinazomilikiwa na madhehebu fulani hapigi nyimbo au kuweka mahubiri yasiyo ya dhehebu lao. Kuhusu ajira kuna waajiri wanafanya vizuri sana, wamejaza wafanyakazi wasio na dini na imani yao, tena wanatinga studioni huku wamevaa mavazi maarufu kwa dini yao
 

Kituo cha dini ni sahihi kutokupiga miziki isiyo ya dini yake, ila kituo kumilikiwa na mtu wa dini nyingine na kupeperusha vipindi vya dini isiyo yake ni dhihirisho la upendo, sasa ukija upande wa pili kuna watu hata kula kwa mghahawa usiomilikiwa na mtu wa dini yake ni mwiko.

Huyo Diamond au Nasibu juzi kashambuliwa issue ndogo tu chuki aisei

 
Mleta mada bila shaka ulipigwa talaka na muislamu maana sio kwa chuki hizo kila siku,

Hiyo haiwezi kukusaidia,jitulize ili upate posa nyingine.
 
Dili kwanza na ndugu zako waliokufa kwa kushindishwa njaa,najua umeanzisha hii thd ili kudivert issue ya wagalatia wenzako kufa kwa njaa.
 
Kenya uwezi kukuta eti muislamu kapewa au anaongoza sehemu yoyote ,hata kwenye siasa wakristo tupu ,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…