Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Mboju

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
283
Reaction score
727
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela

Mods mnaweza kuunganisha uzi huu na ule mwingine

Thanks mkuu na barikiwa sana walau leo mama watoto na wanangu tutakula mihogo siku ipite kuliko kulala njaa
 
Utaponza kalio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…