Nyie watu wafupi mnaongea sana. Kwa mdomo tu, we bingwa ila kwa nakozi!!!!! Ulikimbia mkuu.Kwakuwa ANAKUKAZA vyema umeona haitoshi hadi uje USIMFIE Basha wako. Kama Yeye ni Bingwa zaidi yangu wa BATTLE za MANENO hapa JamiiForums mwambie aombe ruhusa kwa Moderators wa JamiiForums kuwa watuachie Mimi na Yeye tupambane na WASITUPIGE BAN kisha uone ambavyo nitamnyoosha. Kwahiyo Kwako / Kwenu nyie WAPUMBAVU WENZAKE huyu ndiyo mmemuona Kiboko yangu? Hujiulizi pamoja na Watu hapa kutumia IDs zao mbalimbali KUPAMBANA nami ila bado tu kwa hii hii ID yangu ya JESHI LA MTU MMOJA bado NAWAMUDU na NAWASHINDA?
Umeingia woga sio naona unajishusha sasa. Haina shida mkuu, yote mema kuwa na siku njema.Unajua maana ya kumchokoza mtu lakini?
Wewe si ndio umejileta kwenye comment yangu na kuniquote kwa lugha ya hovyo?
Au unataka udhalilishe mtu hapa JF kisha yeye akuchekee tu sio?
Unapotaka kuheshimiwa,heshimu wenzako kwanza,
Stop acting like a victim.
Wewe acha ujinga,yani wewe unitishe mimi? Hivi una akili sawa kweli wewe? Kumbe ni mtu usiyestahili kuheshimiwa sio? Acha shobo na mimi,Umeingia woga sio naona unajishusha sasa. Haina shida mkuu, yote mema kuwa na siku njema.
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela
Mods mnaweza kuunganisha uzi huu na ule mwingine
Thanks mkuu na barikiwa sana walau leo mama watoto na wanangu tutakula mihogo siku ipite kuliko kulala njaa
Kaka amani kwanza๐ ๐Wewe acha ujinga,yani wewe unitishe mimi? Hivi una akili sawa kweli wewe? Kumbe ni mtu usiyestahili kuheshimiwa sio? Acha shobo na mimi,
Nimekuelewesha nilifikiri ni mtu wa maana ungeelewa,punguza shobo na mimi.
Hahahaha babu sina ID nyengine nimenyooka kama rula yaani, Madaktari tunahujumiwa ila upepo utapita na heshima yetu itarudi tuu ๐๐ ๐ Mambo ya multiple ID hayo, itakuwa kashfa ya Madaktari wa JF (PhDs) ukimwondoa Dr. Mariposa unless uje pembeni unitajie kama una ID nyingine Mjukuu ๐ค
๐Wewe acha ujinga,yani wewe unitishe mimi? Hivi una akili sawa kweli wewe? Kumbe ni mtu usiyestahili kuheshimiwa sio? Acha shobo na mimi,
Nimekuelewesha nilifikiri ni mtu wa maana ungeelewa,punguza shobo na mimi.
Poleni madaktari wetu wa JF ๐คHahahaha babu sina ID nyengine nimenyooka kama rula yaani, Madaktari tunahujumiwa ila upepo utapita na heshima yetu itarudi tuu ๐