Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Mkuu akili ni nywele kwa umri wangu na maisha NAYO ishii na haja gani ya kufanya bullying

Kwa faida ya nani ili iweje mkuu tuheshimiane tisichukuliane powa powa wengine tupo humu for recreational so take it easy.
Mzeebaba unareply kwa kasi kuliko hata mwenye uzi mwenyewe.

Hii si ni shuhuda ya jamaa yetu, au ndo umekuja kuchukua maua yako.??

Jf ina vituko hii.
 
Labda kama ilikuwa ni sehemu ya makubaliano yenu kabla hujapokea hicho kiasi lazima uje umshukuru hadharani

Anyways, huu ni Mwaka wa Uchaguzi, huenda Dr am 4 real PhD kuna Jimbo anagombea

Hivyo ameona bora aje kwasisi Wajumbe kupitia njia hiyo 😅
Niliona alimwambia aweke namba yake hadharan amtumie hela na amshukuru hadharani nilidhan labda angemtumia hata 10 lakini ndio hivyo tena ila kwa hii JF usikute muanzisha mada na muanzishiwa mada wote ni mtu mmoja katega ndoano yake azivune buku buku za wenye huruma😁🤣🤣
 
😅😅 Mambo ya multiple ID hayo, itakuwa kashfa ya Madaktari wa JF (PhDs) ukimwondoa Dr. Mariposa unless uje pembeni unitajie kama una ID nyingine Mjukuu 🤗
 
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela

Mods mnaweza kuunganisha uzi huu na ule mwingine

Thanks mkuu na barikiwa sana walau leo mama watoto na wanangu tutakula mihogo siku ipite kuliko kulala njaa
atume na kwetu tumshuru ,wewe hujashukuru bado
 
Back
Top Bottom