Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Wewe umeingia pabaya,umenitukana bila sababu,nitakufanya JF uione chungu,

Wewe ni masikini huwezi kujianzishia uzi kwa elfu 3 huna justification yeyote ya kujitetea hapa,

Wewe leta tu broken english yako ila umeanzisha moto,tambua hilo.
Mkuu aliyeomba ni mimi acha kumshambulia Dr am 4 real PhD
 
Mzee sina haja ya kujitangaza humu then what...

Ajitokeze mtu yoyote nilie wai kum inbox kwa msaada wowote

Umo kichwa mwenu mmejaza UTOKO unaweza kuhisi chochote unacho nizidii

In short kama una ndugu Yako ni pharma tech, ama pharmacist niunganishe nimpe ajira.

Punguza u sadist
Dr naomba kazi 😹
 
Huna cha kunifanya chochote KIMA wewe HUNA ACHIEVEMENT YOYOTE UNAYO NIZIDII.

UKITAKA TUSIBITISHE MBW** WEWE NA NAKUONAGA UNAPENDA SANA KUNILETEA ZAKO ZIPIIII

KUHUSU U MASKINI NI KWERIIIII MIMI NI MASKINI NILIE CHANGAMKA

KAMA WIVU WAKO UNASABABISHWA NA TITLE YA U DOCTA MIMI SIKUKUKATAZA WEWE KUSOMA

JIHESHIMU HUNA CHOCHOTE CHA KUVIMBIANA NA MIMI. KILA KITU ELIMU, EXPOSURE NA ALL ASPECTS OF LIFE
Acheni basi hizi bifu. Hazisaidii kitu wakuu.
 
Huyo jamaa Huwa damu haziendani for sure sio Leo ama wakati wowote.

Labda iyo title ya udocta ndio inamfanya achukie kwani Mimi nili mkataza asisomee

Binafsi siwekagi watu ignore list tutaishi nae kimbuzi mbuzii

😊
😹😹😹 Acheni bhana sio pouwa..!!
 
Dah! nimejikuta nacheka japo si sawa kucheka. Sharti ni gumu ila yote kwa yote watoto wa jamaa usingizi utapita, siku itaisha vyema.
 
Back
Top Bottom