Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Hakukua na haja ya kuanzisha thread Mimi nilimwambia aweke namba na anishukuru akipata unaweza ku refer kwenye uziii

Na kazi nyingi na plan Angu kibao za ku accomplish Kuna haja gani ya Mimi kuwa na multiple ID's

Kichawii mvii zimeanza kutoka in short nipo matured enough sina UTOTO Mimi Nina confidentiality above average.

Dogo Mwachiluwi anaweza kuutoa utetezi Kuna kipindii nilipigwa ban ya wiki mbili mwachiluwii akanipa namba niongee na mtu nifunguliwe Ban mbona sikumpigia Wala kufungua account mpya

Mimi sio mtoto wa gen Z ni mtu mzima baba wa makamo
Mwachiluwi alikupa namba kwa id ipi si walikupiga ban? Au mnafahamiana nje ya JF? 😜

Na miye naye kwa udadisi mweh.! 😹😹
 
ANGALIZO
Ila hela ya mwanaume sometimes huwa hailiwi kienyeji
Wewe kama uma moyo mgumu sisi wengine tunasaidia saidia sanaa

Chukua kama CHANGAMOTO

JIFUNZENI KUTOA / KUSAIDIA MKONO UNAO TOA NDIO UNAO POKEA.

SISI TUNASAIDIAGA MPAKA WATU BAKI...KUNA JAMAA NILIMPOKEA DAR ES SALAMA HANA NDUGU LEO HII ANAMAISHA YA MAANA NA HUWA ANASEMA NISINGE MPOKEA DAR NIKAMPELEKA AKAISHI BUREEE MPAKA AKAJIPATA
 
Hakukua na haja ya kuanzisha thread Mimi nilimwambia aweke namba na anishukuru akipata unaweza ku refer kwenye uziii

Na kazi nyingi na plan Angu kibao za ku accomplish Kuna haja gani ya Mimi kuwa na multiple ID's

Kichawii mvii zimeanza kutoka in short nipo matured enough sina UTOTO Mimi Nina confidentiality above average.

Dogo Mwachiluwi anaweza kuutoa utetezi Kuna kipindii nilipigwa ban ya wiki mbili mwachiluwii akanipa namba niongee na mtu nifunguliwe Ban mbona sikumpigia Wala kufungua account mpya

Mimi sio mtoto wa gen Z ni mtu mzima baba wa makamo
Kuna jokes pia chukulia kama jokea tu
 
Mtu mzima ila huna akili punguani wewe,kilichokufanya unitukane bila sababu ni nini fala wewe? Elfu 3 unajianzishia uzi,

Tafuta hela punga wewe.
 
na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela
 
Hako kachoko kanauza kalio,ni kamtu kaliko choka na maisha,nashangaa kamenirukia na kuanza kunitukana bila sababu,

Sasa ngoja nikanyooshe,mpaka JF kaione chungu.
😹😹😹 Basi jirani inatosha nyie wote wanangu sana..!!
Mtanifanya nishindwe kuchagua upande mjue 🤣
 
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela

Mods mnaweza kuunganisha uzi huu na ule mwingine

Thanks mkuu na barikiwa sana walau leo mama watoto na wanangu tutakula mihogo siku ipite kuliko kulala njaa
Kuna dalili ya utapeli hapa. 😁😁
 
😹😹😹 Basi jirani inatosha nyie wote wanangu sana..!!
Mtanifanya nishindwe kuchagua upande mjue 🤣
Huyo jamaa Huwa damu haziendani for sure sio Leo ama wakati wowote.

Labda iyo title ya udocta ndio inamfanya achukie kwani Mimi nili mkataza asisomee

Binafsi siwekagi watu ignore list tutaishi nae kimbuzi mbuzii

😊
 
Mzee sina haja ya kujitangaza humu then what...

Ajitokeze mtu yoyote nilie wai kum inbox kwa msaada wowote

Umo kichwa mwenu mmejaza UTOKO unaweza kuhisi chochote unacho nizidii

In short kama una ndugu Yako ni pharma tech, ama pharmacist niunganishe nimpe ajira.

Punguza u sadist
Sina mkuu ila hata kama ningekuw naye nimlete tu kwako aaaaah hapan 😀😀😀
 
Back
Top Bottom