Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Mbona ni kama vile umeitoa hiyo elfu 3 kwenye mfuko wako wa Suruali kisha ukaiweka kwenye mfuko wako wa Shati halafu ukajipongeza!
Kwa SISI wakristo Yesu kristo alipo kua anaiubiri INJILI YA BWANA KULE GALILAYA aliwai kuambiwa na watu HUYU SI MTOTO WA YOSEFU YULE FUNDI SELEMALA.🤔

Infant humu ndani bare in mind Kuna watu wazuri mnoo na wenye KUSAIDIANA mambo mbali mbali so kama hiyo ELFU TATU imekutoa kihungurila chukua ndimu limao na maji kwa sanaa

All in all, Amini kwamba Good people are still ALIVE.
 
Hongera kumpiga tafu jamaa

Sio wote wenye moyo wa utoaji hapa

Kumbe nasi wazee tunapaswa kujifunza kuchota baraka za mwisho mwisho Kwa kusaidia wenye changamoto kama ulivyofanya wewe
At least usiwaumize watu ikiwa huwezi kumsaidia basi at least usiwaumize watu 😊

Muhimu SANAAAAAA mzee wangu
 
Kwa SISI wakristo Yesu kristo alipo kua anaiubiri INJILI YA BWANA KULE GALILAYA aliwai kuambiwa na watu HUYU SI MTOTO WA YOSEFU YULE FUNDI SELEMALA.🤔

Infant humu ndani bare in mind Kuna watu wazuri mnoo na wenye KUSAIDIANA mambo mbali mbali so kama hiyo ELFU TATU imekutoa kihungurila chukua ndimu limao na maji kwa sanaa

All in all, Amini kwamba Good people are still ALIVE.
Hata sijaelewa ulichokiandika hapa,

Ila nakushangaa tu coz comment yangu inamuhusu mleta mada ila miguu unarusha wewe!
 
Jamaa sijui kafikilia nini huwezi kua labda ni kukwama kwa kiasi gani infact Mimi nilikua natania TU.

So BINADAMU HATUFANANII
Duru zinasema id yako nyingine 😹

Ila kwann ulikubali akufungulie uzi?
Mwenzio kaona bora alipe fadhila na ahadi mlizokubaliana..!!
 
ANGALIZO
Ila hela ya mwanaume sometimes huwa hailiwi kienyeji
Hako kajamaa kaliko anzishiwa uzi ni kachoko,kanatumia wanaume hela jf ili wakapakua marinda,cha ajabu kajitu kenyewe kamejichokea na maisha choka mbaya,elfu 3 tu kanataka kuanzishiwa uzi ili katangaze soko lake la kuliwa tope.
 
Duru zinasema id yako nyingine 😹

Ila kwann ulikubali akufungulie uzi?
Mwenzio kaona bora alipe fadhila na ahadi mlizokubaliana..!!
Hakukua na haja ya kuanzisha thread Mimi nilimwambia aweke namba na anishukuru akipata unaweza ku refer kwenye uziii

Na kazi nyingi na plan Angu kibao za ku accomplish Kuna haja gani ya Mimi kuwa na multiple ID's

Kichawii mvii zimeanza kutoka in short nipo matured enough sina UTOTO Mimi Nina confidentiality above average.

Dogo Mwachiluwi anaweza kuutoa utetezi Kuna kipindii nilipigwa ban ya wiki mbili mwachiluwii akanipa namba niongee na mtu nifunguliwe Ban mbona sikumpigia Wala kufungua account mpya

Mimi sio mtoto wa gen Z ni mtu mzima baba wa makamo
 
Back
Top Bottom