Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela
Mlifanya makubalia ya namna ya kutoa shukrani?! Kushukuru ni jambo jema.
 
Mzee sina haja ya kujitangaza humu then what...

Ajitokeze mtu yoyote nilie wai kum inbox kwa msaada wowote

Umo kichwa mwenu mmejaza UTOKO unaweza kuhisi chochote unacho nizidii

In short kama una ndugu Yako ni pharma tech, ama pharmacist niunganishe nimpe ajira.

Punguza u sadist
Hii ni fursa nakwambia , ngoja tulete wandugu zetu mapharamacist, JF maboss wapo
 
Mkuu toa laki mpe jamaa apate mtaji...nilikua na mtania TU.

Hakukua na haja ya kuanzisha uzii ila Note.

KWENYE MAISHA NILIWAI KUA KWENYE STATE 3000 NAIONA KAMA MILIONI TATU.

KWAKO ELFU TATU INAWEZA KUWA PESA NDOGO SANA SANAA SANAAAAAA ILA KWA MWINGINE 3000 UNAKUA UMEGUSA MAISHA YAKE KWA SIKU IYOOOO

SO CHUKUA KAMA CHANGAMOTO KUSAIDIANA KWA MTU YOYOTE MWENYEWE UITAJI NA NILITUMA ELFU TATU KWA KUA ALIOMBA ELFU TATU ANGETAJA KIASI KINGINE NINGETUMA PIA.

NB. KWA SISI AMBAO TUMEWAI KUKOSA NAULI NA KULAZIMIKA KUTEMBEA UMBALI MREFU MWENGE_ SEGEREA, MWENGE MBAGALA, KARIAKOO_ MBAGALA, UBUNGO_ KARIAKOO, MIKOCHENI_ KIJICHI, MBANDE_ KARIAKOO TUNAJUA FIKA ELFU TATU SIO NDOGO.

HAPA KINACHO SHUKURIWA NI ILE NIA/ MOYO WA KUSAIDIA NOT ANYTHING ELSE.
Naelewa Sana, ila nime shangazwa na masharti mkuu.
 
Wakuu nawaomba hapa jf pawe mahali pa kufurahia.. I'm sorry kama nimewakera.
 
Huu mwezi ni ma doctor wa jf kupatwa.
Juzi tulikuwa heka heka na doctor na leo tena!

Hivi kama sisi wengine tungekuwa na sharti la kuanzishiwa uzi kwa yale tuyayo push wenzetu huko pm si jukwaa nzima linge jawa na nyuzi hizo!
 
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela

Mods mnaweza kuunganisha uzi huu na ule mwingine

Thanks mkuu na barikiwa sana walau leo mama watoto na wanangu tutakula mihogo siku ipite kuliko kulala njaa
Afutatu???!!! Unakula nini na familia? Hiyo hata prof janabi haimtoshi.
 
Back
Top Bottom