Uchaguzi 2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

Hata mimi pia kuna wanachadema kumi nimekutana nao na wamesema kesho hawataenda kupiga kura. Nimewaacha na maamuzi yao kwa kweli.
 
Nitashikiri vyema mimi kama mmoja ya wanachadema tunaosimamia uchaguzi kuhakikisha haki inatendeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ni wa kushukuriwa sana kwa kweli.
 
Hivi kwa hila za Tume-ccm kwenye karatasi halisi ikatokea kwamba jina la mwisho likawa la Lipumba + cuf na jina la Lissu + chadema kuwekwa chini ya "chama cha demokrasia makini" ili kuvuruga wapiga kura kuna hatua zozote za kisheria za kuweza kuchukuliwa?

Kumbukeni kuna wamekariri kwamba Lissu ni wa mwisho ktk orodho, hivyo wala hawatachukua tahadhari ya kuhakiki hilo! Pia kuna watu wamekariri "Demokrasia" - hawata chukua tahadhari ya kuhakiki kama ni "Demokrasia makini" au ni "Demokrasia na maendeleo"! Am just playing "the devil's advocate"!!!!
 
Kweli wanastahili tuzo maalum! Kuna watu walidhani kuminya vyombo vya habari wangekuwa wameishika CHADEMA, Lakini mwisho wa siku wamefeli vibaya, wameshikwa wao! viva Lissu, kesho tukampigie Lissu kura za kishindo tuikombowe tasnia ya habari!
 
#NiYeye
 
Mimi niliandika mada kama yako mleta mada ya kuwashukuru wana CCM na wote walIomuunga mkono Magufuli humu moderator kaitoa jukwaa LA siasa kaenda kuitupa porini huko anakojua mwenyewe ili isiwe visible ibaki ya Lissu tu itambe humu sio kesi kesho kitaekeweka ushindi CCM tukiupata hamtaniona tena JamiiForums mbaki na Chadema wenu muwe mnajichekesha na kucheka wenyewe
 
Mwaka 2015 tulikuwa mbele kwa kila kitu hata waangalizi wa kimataifa wlaipokuja hapa walisifia sana nchi yetu. Wakenya na Waganda walipata somo jinsi demokrasia ilivyoshamiri. Kila mgombea alipata nafasi ya kujinadi mitaani na kwenye TV ya Taifa.

Lakini mwaka huu tumerudi miaka ya mkoloni kwenye figisu alizofanyiwa Nyerere. Kama kweli mmetekeleza kwa kishindo miaka 5 tena bila kelele za upinzani, TV zote mlikuwa nyie mnasema yenu hamna hata mkutano wa siasa wa upinzani.

Ni sifa kem kem kutoka Bungeni hadi mitaani sasa haya ya kunyimana nafasi ya kuzngumza na wananchi kipindi hiki cha kampeni ?

Nasikitika sana kuona hata vijana wa generation yetu waki turn a blind eye on these things! Sawa mnapenda chama chenu lakini haya nyie hamyaoni? .

Mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi ilikuwa kwa busara ya Kiongozi. Wengi hawakutaka vyama vingi lakini viongozi wa wakati huo waliona kuna umuhimu wa kusikiliza hizi sauti za wachache. Does that level of wisdom in our leadership exist today?

Kama nyie wafuasi wa kweli wa Nyerere nendeni mkasome historia ya upinzani ndani Tanzania na namna gani baadhi ya wabunge vigogo wa Nyerere walivyoangushwa kwenye uchaguzi ,his reaction to that and the lessons he took from those failures.

It is my hope that my children and my children's children will not have to live in such a pathetic autocratic state! What is life without freedom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…