Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambiaje jiandae kumsindikiza huyo unayemtetea humu na wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama kwenda ICC muda si mrefu. Waliyofanya Zanzibar kuua watu usiku wa leo haliwaachi. Nakwambia tena haliwaachi
Kiongozi wako nasikia leo ameomba mapumziko kwasababu dozi za Lissu zimemfanya apande kichaa.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ulimuonya wewe kama nani!! Sasa jiandaeni kumsindikiza huyo magufuli wenu kwenye sero za ICC
Mkuu, kwa kipekee sana na wewe umejitoa sana kutuhabarisha kila siku na tena pasipo kuchoka habari za kampeni za CDM haswa mgombea wa nafasi ya uraisi TAL ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi wa mwaka huu. Kongole nyingi sana zije kwako.
Haitawasaidia kitu
Kesho Watanzania wanaenda kumuadhibu Msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi...
Lakini pia msichoke sasa hivi baada ya kupiga kura tunahitaji taarifa muhimu ili tufanye maamuziWakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi...
Kila kitu kitaanikwa hadharaniLakini pia msichoke sasa hivi baada ya kupiga kura tunahitaji taarifa muhimu ili tufanye maamuzi
Msaliti wa nchi na wananchi ni huyu aliyeamrisha majeshi yaue watu Zanzibar. Tayari tumeshapeleka ushahidi kunakohusika jiandae kwenda nae ICC muda si mrefu
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Pamoja sana kuna huyu mdau mdau muhimu muongeze Sky EclatShukrani pia zifike kwa Molemo , bagamoyo , Mshana Jr , Akilindogosana ,BAVICHA Taifa , @Bawacha Taifa kwa msaada maalum walionipa wakati wote wa kampeni hii
Sorry but nadhani hili halikuhusuHuyu alishatoa post Jana ya kukata tamaa, mmebaki tu nyie mnakomaa na kushindwa
Kwani kesho mbali mkuu? Mbona unaweweseka hiviKura za thamani zipo Ccm, nyie wengine mnaenda kupoteza muda