Uchaguzi 2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

Uchaguzi 2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

Tii sheria bila shuruti la sivyo utanyea ndoo kwa miaka mingi

Tuliwaonya na wanzako wakajifanya wajuaji
Nakwambiaje jiandae kumsindikiza huyo unayemtetea humu na wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama kwenda ICC muda si mrefu. Waliyofanya Zanzibar kuua watu usiku wa leo haliwaachi. Nakwambia tena haliwaachi
 
Ukiwa na uhakika wa ushindi ya nini kujisumbua

Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania ushindi ni 98%
Kiongozi wako nasikia leo ameomba mapumziko kwasababu dozi za Lissu zimemfanya apande kichaa.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Shukrani sana @Erythrocite na wengine ambao wametujuza mengi kuhusu kampeni za ukombozi wa taifa letu. Tujitokeze kuchagua CDM tuuangushe utawala wa kimabavu sasa.

Mkuu, kwa kipekee sana na wewe umejitoa sana kutuhabarisha kila siku na tena pasipo kuchoka habari za kampeni za CDM haswa mgombea wa nafasi ya uraisi TAL ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi wa mwaka huu. Kongole nyingi sana zije kwako.

Haitawasaidia kitu
Kesho Watanzania wanaenda kumuadhibu Msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
 
Shukran za kipekee pia zikuendee wewe mkuu, umekuwa mstari wa mbele kutuhabarisha bila kuchoka, hongera pia kwa kutoa Shukran kwa wengine na wote waliohusika kuleta habari za Mh lissu bila kuogopa. Kwa wakt wenu na kwa juhudi zenu mumejitahidi sana kufanya pa kubwa.
 
Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi...

Chagua Tundu Lissu kwa Bara, Chagua Maalim Seif kwa Zanzibar​

Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi...
Lakini pia msichoke sasa hivi baada ya kupiga kura tunahitaji taarifa muhimu ili tufanye maamuzi
 
Ila malalamiko yetu ni kwa MOD's, safari hii wametunyima ballot box kwa wagombea wa URAIS - leo tungehitimisha na kuona ni nani mgombea aliyeshinda kwa kupata kura nyingi za wana JF.
 
Back
Top Bottom