Uchaguzi 2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

Shukrani kwako pia Mkuu umejitoa sana katika kutuhabarisha tangu mwanzo wa kampeni hadi mwisho. Thank you πŸ™πŸ½ so much Sir on your efforts. We salute you Sir! God bless you and your beautiful family
πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
 
amina sana mkuu
 
Yaaa moderators ni lazima muwashukuru kwa kweli, kwa maana wamejitahidi sana kusema ukweli, Mungu awabariki sana kwa kumlinda Tundu kwa hali na mali, BTW yuko wapi tundu, atakuja Dar kumalizia Kampeni kama mlivyosema hapo mwanzo ?
Amekuja na mafuriko ya watu, umemuona enhee?[emoji23][emoji111]
 
Shukrani pia zifike kwa Molemo , bagamoyo , Mshana Jr , Akilindogosana ,BAVICHA Taifa Sky Eclat , @bawachataifa kwa msaada maalum walionipa wakati wote wa kampeni hii
Umewasahau DARMPYATV. Walifanya kazi nzuri sana japokuwa inaelekea siku za mwishoni mwishoni ninafikiri walipata vitisho kutoka kwa watawala. Na wewe ulijitahidi japokuwa mara kadhaa ulianzisha uzi na ukawa unashindwa kutoa updates. Lakini ulijitahidi na inaelekea ulikuwa na nia njema. Hongera sana
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa wa Urais kuwahi kutokea barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.
πŸ€”πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…