Endelea kutega sikio hapahapa JF
Mkamate mabegi ya kura halafu muyachome moto, kweli mlidata, Kiki ya kijinga sana hii, sijui mlifeli nini na wanasaccos [emoji16][emoji23]Mabegi ya kura yaliyolindwa na Mambosasa hukuyaona
Maandishi ya uganga sijawahi kuyakubali"Usiruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote wala usijiandae kwa cheo chochote. Ukiwaruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote na haswa kama hawana mamlaka ya uteuzi au hawaamui kwa kura zao, utafadhaika na kuishi maisha ya shida. Usijiandae kwa cheo chochote maana ukipata utakua na kiburi na fahari, na ukikosa utamchukia yule aliyepewa na kumfanya adui yako. Kumbe ndio kudra ya mwenyezi Mungu na ndio fungu lake - Baba mzazi rev Aidan Kabudi
Tunashukuru kwamba uliyaonaMkamate mabegi ya kura halafu muyachome moto, kweli mlidata, Kiki ya kijinga sana hii, sijui mlifeli nini na wanasaccos [emoji16][emoji23]
haiwezekani umenisahau kamanda tulipambana sana kwa mpakwa mafuta TL ndio hivyo waswahili wakaamua yaoShukrani pia zifike kwa Molemo , bagamoyo , Mshana Jr , Akilindogosana ,BAVICHA Taifa Sky Eclat , @bawachataifa kwa msaada maalum walionipa wakati wote wa kampeni hii
Kumbe Mahera naye ni Mswahilihaiwezekani umenisahau kamanda tulipambana sana kwa mpakwa mafuta TL ndio hivyo waswahili wakaamua yao