shukrani

shukrani

hehehehe!
tuliwahi kuhama baa kwa ongezeko la sh 50 kwenye kinywaji!....
ukiniuzia bia sh 2000 naweza kukupeleka mahakamani😀

Sasa mafuta mliyotumia kuhama baa si yangetosha kugharimia hilo ongezekola thamani? 🙂
 
Unajua mkuu hapo beer ni 2000 na kuendelea tulikaa hapo na Geoff kama nyie premium member wanaweza kufanya 1500 basi bei ya kawaida. Unajua kwa mnywaji sh.100 inamuhamisha bar na kuhamia bar ingine. Kwenye vinywaji sh.100/= kubwa sana.

Mependezo yanakaribiswa kwa sehemu nyingine ya kukutana pia! Wengi wape!
 
Hebu nambie bia inanoga ikifunguliwa na mhudumu jinsia gani? Be frank.

Jinsia ya mhudumu kwangu haijalishi kabisa! Mimi kwenye bia mkuu huwa sitaki huduma ikauke, ndio maana huwa nakaa kaunta, ili huduma iwe ya kata mti, panda mti! Sasa ni mara chache sana kukuta mhudumu wa kaunta ni mwanamke!

Nyie mnaopenda kukaa chodo mkiwa baa ndio huwa mnahudumiwa zaidi na wahudumu wa kike! 🙂
 
Duh kumbe kulikuwa na get 2gether ya uchoyo uchoyo mbona hatukutaarifiana wadau?

Hata mimi kimeniuma, wanaJF uchoyo umeanza lini tena??? Sasa michango yetu nani tumpe???? njoo uchukue na ya kwetu.
 
Tafadhali mtumie PM Pearl ndiye ''organiser''! Ila mada hii ilikuwa wazi kwa siku mbili mfululizo wiki iliyopita kabla ya watu kukutana!

Hakuna kilichoharibika, kwa kuwa michango bado tunaendelea kupokea, na tuna mpango wa kukutana tena wiki hii kwa ajili ya tathmini ya makusanyo na pia kuiwakilisha kunakohusika !!!
 
jamani muwe mnasoma thred ili msilalamike,mm nakaa na michango so kama unamchangowako sema uko wapi nitafwata ni pm no yako ntakupigia for more maelezo
Hata mimi kimeniuma, wanaJF uchoyo umeanza lini tena??? Sasa michango yetu nani tumpe???? njoo uchukue na ya kwetu.
 
Jinsia ya mhudumu kwangu haijalishi kabisa! Mimi kwenye bia mkuu huwa sitaki huduma ikauke, ndio maana huwa nakaa kaunta, ili huduma iwe ya kata mti, panda mti! Sasa ni mara chache sana kukuta mhudumu wa kaunta ni mwanamke!

Nyie mnaopenda kukaa chodo mkiwa baa ndio huwa mnahudumiwa zaidi na wahudumu wa kike! 🙂

Hahaha! Danganya toto kula kande mbichi! Mi mwenyewe mzee wa kaunta! Uzuri wa kaunta wahudumu wote lazima waje hapo......... Life goes on!
 
jamani muwe mnasoma thred ili msilalamike,mm nakaa na michango so kama unamchangowako sema uko wapi nitafwata ni pm no yako ntakupigia for more maelezo

Afu na wewe kwanini unataka namba za watu lakini za kwako hutoi? Mzee mkali au?
 
jamani mbn huongelei mada husika?bar na ma bar med tu,hii inakuwaje?
Hahaha! Danganya toto kula kande mbichi! Mi mwenyewe mzee wa kaunta! Uzuri wa kaunta wahudumu wote lazima waje hapo......... Life goes on!
 
Hahaha! Danganya toto kula kande mbichi! Mi mwenyewe mzee wa kaunta! Uzuri wa kaunta wahudumu wote lazima waje hapo......... Life goes on!

Dah! Mzee kweli sikuwezi, yaani unajua sana kupata ''maximum satisfaction'' ukiwa baa! Ukaa kaunta kwa malengo maalumu! Unanidai bia kadhaa mpaka sasa hivi! 🙂
 
Back
Top Bottom